Search results

  1. B

    Sawa Kikosi cha Taifa Stars CHAN na AFCON Kimetajwa! Vipi muonekano wa Jezi

    Wasalaam Vipi wandugu hizi jezi za ndg zetu Taifa stars, ukilinganisha na mataifa mengine mnazionaje? Binafsi sifurahishwi na misoksi ya blue yaani fulana blue, kaptura blue soksi blue....imepoa sana! Wadau mnapendekezaje maana muonekano nao una nafasi yakee!
  2. B

    Kipande cha barabara usichokipenda ukisafiri

    Wasalaam Najaribu kupata uzoefu toka kwa wadau! Binafsi hufanya safari za Mara kwa Mara kwa barabara! Katika safari zangu za mkoa wa Rukwa safari yangu huwa inaingiwa na ukakasi nikishafika Mbeya Mjini nikianza kuitafuta Tunduma. Sijui wewe mdau kipande gani kinakutesa kutokana na Barabara...
  3. B

    Matumizi ya Akili na Ufanisi Serikalini

    Wasalaam Hoja yangu leo inajikita kwenye usafirishaji wa abiria kupitia mabasi ya mikoani Wakati dunia inajitahidi kwa kuvumbua namna rahisi za kuendesha mambo na kutafsiri sheria ngumu ili kuziboresha na kupafanya duniani mahali pazuri kwa kuishi sivyo ilivyo Tanzania. Naomba maoni hapa...
  4. B

    Biashara ya kuchonga mabodi ya mabasi ilivyokufa Tanzania

    Wasalaam Nimemaliza ziara yangu nchini Kenya juzi na tathmini yangu ktk sekta ya viwanda Vya wazawa ni kama ifatavyo; KENYA 1.katika gereji na viwanda Vya wazawa nilivotembelea kama banbros, malva, Kenya coach industries, labh sing, master fabricators, Mombasa bound buses na choda fabricators...
  5. B

    Mshahara wa Lissu; Kuna tajiri mmoja duniani ataingia kwenye historia

    Naona picha linaendelea Marekani IPO hivi!!! Ukiwa mzuri kuliko watu wote duniani wewe ni fursa! Ukiwa na akili nyingi sana ikathibitika hivyo wall street is your home, Ukiwa mbaya kuliko wote, ukiwa kituko, ukiwa mrefu kuliko wote, mfupi, mnene,mweusi, ukiwa na Tabia ya kipekee au kipaji cha...
  6. B

    Hivi kwanini nchi nzima inajivua nguo ikikabiliana na Lissu?

    Sitaki kuamini kwamba Tundu lissu ni mkubwa sana kuliko nchi au taifa la Tanzania. Naamini TL ni mdogo sn kuliko nchi! Sasa iweje viongozi wakubwa wa nchi wakianza kupambana nae tena kwa upya akiwa ughaibuni Kisa tu kaongea BBC? Swali yaani tishio ni hili la juzi tu BBC ndio nchi inaliona...
  7. B

    World Bank, EU cut Tanzania aid after rights crackdown

    Tunapoelekea mwaka mpya tuiombee nchi yetu hali ndio hii sasa Accusations of repression are growing and donors and former allies are increasingly frustrated. The European Union, Tanzania's biggest development partner, and the World Bank have recently taken measures to sanction repressive...
  8. B

    Gari nimenunua Afrika Kusini Milioni 4, kodi Tanzania Milioni 18!

    Jamani hii nchi Mungu tu aingilie kati! Unaweza ukafurahi ukiwa ugenini dakika unagonga tu kibali kukanyaga Ardhi ya bongo na vimizigo vyako ulivotokanavyo kuhemea huko unakutana na ngumi za USO! Yaani Toyota Hilux nimenunua Milioni 4.5 Afrika Kusini calculator ya TRA hapo bila kupepesa macho...
  9. B

    Anahitaji mahusiano na mimi baada ya kuchoshwa na kipigo kutoka kwa mume wake

    Wasalaam! Uzi huu haulengi kuwadhalilisha wanawake hata kdg bali kuwatahadharisha wanaume kutowachukulia wanawake hasa wake zao kimchezomchezo! Hivi karibuni ninamajirani ambao mume na mke na wana watoto 2! Sasa huyu jamaa ni chapombe na ameanza kunywa ghafla na hivo kuathiri uchumi wa familia...
  10. B

    Uharibifu wa Barabara ukichangiwa na speed ya magari

    Wasalaam! Wengi tutakubaliana kuwa serikali inatumia pesa nyingi sana kutengeneza Barbara za lami! Kwa muda sasa magari makubwa yenye uzito mkubwa na ya abiria wanatakiwa kutembea speed 80 kubwa na 50. Ukitembea Barbara nyingi vibao Vya speed 50 ni vingi hadi unachoka! Tatizo Ushahidi...
  11. B

    Nimegundua waandishi wa Habari ni waungwana sana wamfariji Mrs Azori

    Wasalaam Kuna baadhi ya makundi ktk jamii zetu wanatekeleza majukumu yao vzr sn likiwemo hili la umoja wa waandishi wa habari! Naona kwa kuzingatia majanga wanayopata wameamua kumpa tuzo Azory kupitia mke wake yenye thamani ya milioni kumi! Walifanya hivyo na kwa mwangosi! Gob bless you mightly...
  12. B

    Nashindwa Kuelewa Vijana mnafanya nini mjini!!

    Hello comrades Kwa faida ya kizazi cha vijana wetu! Takribani miezi 2 nimekuwa kibiashara mikoa ya iringa, mbeya na rukwa! Kilichonishangaza ni fursa zilizoko mikoa hiyo hasa vijijini. Nikajiuliza hivi vijana wanafanya nini DSM? Wengi hawana ajira lkn kuna fursa nyingi kuanzia ufugaji, kilimo...
  13. B

    Tanzania ni nchi ya ajabu sana!!! Dah

    Habari wandugu! Mwezi uliopita nilikuwa na safari yangu kutoka Johannesburg hadi Nairobi kwa gari kibiashara zaidi! Kutoka South,Botswana,hadi Zambia kila traffic alienisimamisha alipojua ninaenda wapi hakuruhusu nichelewe hata dk moja karibu wote walinitakia sfr njema na kunikumbusha kuzingatia...
  14. B

    Mbunge John Peter Kadutu Mungu amekutumia! Ubarikiwe!!!

    Wandugu napenda kuungana na alichosema mbunge wa ulyankulu Leo! KADUTU: Mkiambiwa Mambo Yenu Mengine Mnakuja Juu - VIDEO Nakumbuka wengi wamezoea kusema sauti ya wengi ni sauti ya Mungu si kweeeli! Ni kinyume chake! Mungu akitaka kufanya jambo lake huwa anamtumia mtu mmoja tu tena kwa...
  15. B

    Siasa ni Hatariii! CCM jiandaeni kupokea wengi!

    Kama sijakosea nimefika mahali nimegundundua siasa ni hatari kuliko gesi! Mambo mengi yanafanyika tunafikiri ni maamuz ya watu binafsi kumbe ni mkakati leo nimenasa ubuyu! Ccm jiandaeni kupokea ugeni mkubwa sana kutoka sehemu mbalimbali za nchi kwa jina la kukiunga mkono chama na rais na...
  16. B

    Rais wa miaka 11 amefikia hapa!!! dunia haina huruma!

    Wadau mnafahamu mengi yaliyofanywa na wakuu mbalimbali katika nchi zao mambo mema kabisa ya maendeleo. Leo nimekutana na hii picha nimemuonea huruma sana huyu Ndg alipata kuka madarakani kwa miaka 11 tangu 2000 hadi 2011. Akiwa anatendewa haya, mkewe yuko lupango siku nyingi anakula ugali na...
  17. B

    Nilikuwa Nakisubiri Kifurushi cha 900 Itapendeza!

    Mitandao ya simu sijui wameshiba hela au vipi! Kauli ya Dr shika itapendeza! Nilitarajia kuikuta kwenye uzinduzi wa vifurushi vipya Vya vodacom, au tigo Halotel nk! Dr angepiga hela na mitandao ya simu halo kadhalika! Watu wa marketing mko wapi! At least sokabet wamejaribu! Imependeza!
  18. B

    Ninahitaji nyati aliyenona; utaratibu ukoje?

    Habarini wadau! Ninaomba msaada wa taarifa zitakazonifanya nipate hitaji hili la nyati mkubwa kwa ajili ya kitoweo katika shughuli ya kifamilia badala ya ng'ombe! Lengo ni kukidhi matakwa ya wanafamilia kwamba nyama ya ng'ombe imezoeleka hivyo wangependa kitu kipya katika shughuli hiyo! Je...
  19. B

    Ushauri: Nina mil 150 niwekeze katika nini?

    Hi wapendwa kwa rehma zake mwenyezi Mungu, nimepata haka kamzigo naomba ushauri ili kesho yangu iwe na kheri niwekeze katk biashara gani na mtaji huu asanteni kwa maoni
  20. B

    Gari inahitajika!!!!!

    Habari wanajamvi! Ninahitaji gari lkn ni kwa mbadilishano wa miti ya mbao ina miaka nane! Gari iwe kwenye hali nzuri tutafikia muafaka nimkatie ekari ngapi kulingana na ubora wa gari! Miti ipo iringa kilomita 8 toka barabara ya lami! Iko vzr sana kwa anayehitaji tuwasiliane kwa namba 0718 456 308!
Back
Top Bottom