Kama sijakosea nimefika mahali nimegundundua siasa ni hatari kuliko gesi! Mambo mengi yanafanyika tunafikiri ni maamuz ya watu binafsi kumbe ni mkakati leo nimenasa ubuyu! Ccm jiandaeni kupokea ugeni mkubwa sana kutoka sehemu mbalimbali za nchi kwa jina la kukiunga mkono chama na rais na kukihama chadema! Nyoka kageuka samaki kinachoandaliwa humo ndani baadae ni cha ajabu mnoo! Its very sensitive! Endeleeni kupokea wageni but hatari inakuja!