Wadau mnafahamu mengi yaliyofanywa na wakuu mbalimbali katika nchi zao mambo mema kabisa ya maendeleo. Leo nimekutana na hii picha nimemuonea huruma sana huyu Ndg alipata kuka madarakani kwa miaka 11 tangu 2000 hadi 2011. Akiwa anatendewa haya, mkewe yuko lupango siku nyingi anakula ugali na dagaa. Somo nililolipata hapa ni kubwa sana! dunia haina huruma, shukrani wala kumbukumbu. unaweza watendea mema watu wako nao in future wakakutendea haya. amewekwa jela ya kawaida sana na masela wengine walioko huko, anapitia machungu sana aisee! Tujifunze!