Hivi kwanini nchi nzima inajivua nguo ikikabiliana na Lissu?

belak

Senior Member
Jul 23, 2016
179
377
Sitaki kuamini kwamba Tundu lissu ni mkubwa sana kuliko nchi au taifa la Tanzania. Naamini TL ni mdogo sn kuliko nchi! Sasa iweje viongozi wakubwa wa nchi wakianza kupambana nae tena kwa upya akiwa ughaibuni Kisa tu kaongea BBC? Swali yaani tishio ni hili la juzi tu BBC ndio nchi inaliona?

Kiasi cha msemaji mkuu wa serikali, spika wa bunge na mkuu wa mkoa wa DSM na wengine nisiowajua kuanza kupoteza points na kujiharibia tena kwa kushindana na TL?

Hakuna kitu kibaya kama kushindana na looser! Nadhani system haifanyi kazi vzr Kama ni kuwaharibia TL amewaroast vzr sana viongozi na nchi kipindi chote alichokuwa Belgium maana ametembelewa na international figures zaidi ya 300! Amekuwa na undisclosed conversations nyingi sana na watu muhimu sana duniani!

Kuanza kupayuka kujibu vihoja dhaifu Vya juzi alipokaribishwa BBC ni kuendelea kujidhalilisha sana kama Taifa! Kama kuna watu wakulaumiwa sana sana sana ni waliopelekea TL kwenda kukaa ulaya miaka 2 akitibiwa na kuivua nchi nguo! Hawa ndio kansa kubwa inayoitafuna nchi!

Ushauri; TL ni akili kubwa sana! Kama serikali au nchi iko serious ningewapigia salute kama mngefanya kila linalowezekana mfanye kazi na TL! Ili kuneutralise hasira na mipango ovu ya wazungu juu ya TZ! Mnaweza!!! Alitisha Slaa Leo yuko wapi?

Siku TL atafanya kazi na serikali ya Magu kwa ukaribu na kuapa ndio itakuwa mwisho wa upinzani tz maana mbowe ameshadhoofika sana kisiasa! Fanyeni haya acheni kujivua nguo huko nje mnajiharibia mno hadi kila MTU anahisi kuna kitu kinawala
 
Risasi wameshindwa Mungu kakataa.
Kumnyima matibabu wa Tanzania wamekataa wakamchangia. Nadhani ndio Mtanzania aliyechangiwa fedha nyingi na damu kwenye matibabu kuliko mwingine yeyote.
Huku hamtaki kumuulizia hali yake lakini vyombo vikubwa vya Habari duniani vinamwalika kusikia yaliyompata na kuwa muujiza unaotembea.
Jee propaganda za kitoto watamuweza au ndio wanamjenga zaidi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na usikute tayari kiutabibu kaehuka, tatizo cheo hicho unalindwa sana haiba yako. Mpaka wana declare kuwa huyu kawa chizi matibabu yameshindwa au bora wam .......

Sent using Jamii Forums mobile app[/QUOT
Akimuamrisha Jenrali Mabeyo na Vikosi vyake Kuivamia jamhuri ya watu wa ZNZ na kwenda kuung'oa utawala Moh Shein kisha hicho kisiwa kitumike kufugia Ngombe za wasukuma ina maana ataangaliwa tu?!
 
Mawakala wa lumumba leo wamemwaga mitandaoni kama wehu ili kupangua nondo za jana za lissu ..dodoma kuna ka jarida kanaitwa la jiji eti na kenyewe leo kanamtukana lissu kagazeti kenyewe hata wiki hakana kanamilikiwa na kibaraka wa magamba boss ngassa
Lissu kupitia hardtalk ya BBC ametufanya tumuelewe alivyo mbishi.
Alijisahau akaanza kubishana na Sucker kama anavyobishana na Ndugai bungeni.

Ameulizwa msimamo wake kuhusu ushoga, akiwa kama senior opponent politician, kajikanyaga mpaka mwisho.
Kwa ujumla interview ile kwa macho ya watanzania...imembomoa lissu badala ya kumjenga!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lissu kupitia hardtalk ya BBC ametufanya tumuelewe alivyo mbishi.
Alijisahau akaanza kubishana na Sucker kama anavyobishana na Ndugai bungeni.

Ameulizwa msimamo wake kuhusu ushoga, akiwa kama senior opponent politician, kajikanyaga mpaka mwisho.
Kwa ujumla interview ile kwa macho ya watanzania...imembomoa lissu badala ya kumjenga!

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo lako wewe ni layman mwanasheria hawezi kukupa jibu la moja kwa moja kama unavyotegemea wewe layman waliosoma sheria na wenye akili kubwa wamemuelewa vizuri kabisa kuhusiana na majibu alivyoyatoa
 
Kauli moja tuu kwa mfano ya Jiwe ingebadilisha kila kitu mfano: Jiwe siku moja tu aseme " Tunamshukuru Mungu kumponya Lissu! Kwa moyo wa dhati Lissu rudi nyumbani tufanye kazi ya kujenga nchi" ingemfanya lissu na mihasira yake kuyeyuka na kuwa na subira!
Kumbe shida ni recognition? Ni rahis ngamia kupenya kwenye tundu la sindano kuliko kupewa hiyo kiki
 
Sitaki kuamini kwamba Tundu lissu ni mkubwa sana kuliko nchi au taifa la Tanzania. Naamini TL ni mdogo sn kuliko nchi! Sasa iweje viongozi wakubwa wa nchi wakianza kupambana nae tena kwa upya akiwa ughaibuni Kisa tu kaongea BBC? Swali yaani tishio ni hili la juzi tu BBC ndio nchi inaliona? Kiasi cha msemaji mkuu wa serikali, spika wa bunge na mkuu wa mkoa wa DSM na wengine nisiowajua kuanza kupoteza points na kujiharibia tena kwa kushindana na TL??? Hakuna kitu kibaya kama kushindana na looser! Nadhani system haifanyi kazi vzr Kama ni kuwaharibia TL amewaroast vzr sana viongozi na nchi kipindi chote alichokuwa Belgium maana ametembelewa na international figures zaidi ya 300! Amekuwa na undisclosed conversations nyingi sana na watu muhimu sana duniani! Kuanza kupayuka kujibu vihoja dhaifu Vya juzi alipokaribishwa BBC ni kuendelea kujidhalilisha sana kama Taifa! Kama kuna watu wakulaumiwa sana sana sana ni waliopelekea TL kwenda kukaa ulaya miaka 2 akitibiwa na kuivua nchi nguo! Hawa ndio kansa kubwa inayoitafuna nchi!
Ushauri; TL ni akili kubwa sana! Kama serikali au nchi iko serious ningewapigia salute kama mngefanya kila linalowezekana mfanye kazi na TL! Ili kuneutralise hasira na mipango ovu ya wazungu juu ya TZ! Mnaweza!!! Alitisha Slaa Leo yuko wapi???? Siku TL atafanya kazi na serikali ya Magu kwa ukaribu na kuapa ndio itakuwa mwisho wa upinzani tz maana mbowe ameshadhoofika sana kisiasa! Fanyeni haya acheni kujivua nguo huko nje mnajiharibia mno hadi kila MTU anahisi kuna kitu kinawala
Uandishi huu unatia uvivu kusoma! Kweli great thinker unashindwa kupanga andiko lako zuri into paragraphs!

Anyway, huyo unayemuita looser ndo walimpyu pyu pyu kwa matarajio kuwa angekutwa na mauti. Huyo ndo aliyeitwa msaliti kwa kurudia rudia hadi September 7, 2017 na bado wanaendelea. Huyo unayemuona looser mbunge na mwakilishi wa wananchi.

Hebu muulize vizuri Ndugai, Abbas, dab na wengineo kwanini kila TAML anachosema au kufanya wao wanataka wakijadili na kukitolea matamko?

Huyo unayemuita "looser", yawezekana humjui au unajifanya humjui. Kwa taarifa yako wenzako wanamjua sana. Wewe endelea kumuita unavyomuita huku yawezekana wewe uko unavomuita uone utafaidika sana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom