Mshahara wa Lissu; Kuna tajiri mmoja duniani ataingia kwenye historia

belak

Senior Member
Jul 23, 2016
179
377
Naona picha linaendelea
Marekani IPO hivi!!! Ukiwa mzuri kuliko watu wote duniani wewe ni fursa! Ukiwa na akili nyingi sana ikathibitika hivyo wall street is your home, Ukiwa mbaya kuliko wote, ukiwa kituko, ukiwa mrefu kuliko wote, mfupi, mnene,mweusi, ukiwa na Tabia ya kipekee au kipaji cha kipekee alimradi tu unaweza kudraw attention ya watu wengi America is your Home.

Ninasuspect kuna tajiri mmoja au taasisi fulani baada tu ya kumaliza kumsimamishia mshashara ndg TAL itatangaza au atatangaza kumlipa mshahara maisha take yote hadi anakufa!

Kuna version nyingi sana za ushauri unaoendelea kila uchwao lkn sijaona critical thinking yyt inayomdhibiti TL zaidi ya mahangaiko tu na kujidharaulisha.

Bunge! Whyyyyyyyyyyy now ndio mnataka kumsitishia mshahara kwanini sasa! Mtu amekaa mwaka na nusu huko???? Hoja anazowatesa nazo mnampa nyie wenyewee

Daaa my country!!!!
 
Hawajui hilo mkuu

Yaani wanajaribu kutumia "fedha" kama silaha ya kumfanya Tundu Lissu anyooshe mikono juu kama ishara ya ku - surrender kwao.....

Hawajui kuwa Tundu Lissu yeye tu hapo alivyo ni asset yenye thamani kuliko ubunge hata Urais....

Mimi ni mkristo. Hii nailinganisha na historia ya Bwana Yesu Kristo. Alipitia njia hii hii, wakajaribu kumvuta na kumtega na mitego yenye uhusiano wa mali na fedha bila kujua kuwa yeye ndiye mmiliki wa hivyo vyote...!!

Namwona shetani kwa kutumia mawakala wake akitumia mbinu zilezile zilizotumika karne nyingi zilizopita dhidi ya raia/watu wanaotishia uwepo wake na maslahi yake....!!
 
Kodi zenu naona kwa ajili ya kukodi watu wasiojulikana na kununua wapinzani Kama 2.4 trillion mlivyozitumia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo wapinzani hawana akili kiasi hiki mpaka wananunuliwa?

Sasa nmeamini hata yule anaebwabwaja kule nje kanunuliwa maana kama hapa tu ccm inawanunua itakuwa mabeberu si mnawaachia hadi marinda kabisa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TL tayari analipwa na hao wanao mlipa na atalipwa mpaka milele maana kaamua kumtumikia shetani, mshahara wake ni wa milele. Hivi huyu anafikiri kukitokea machafuko leo huyo alieshika bunduki na kumminia risasi atanza kuumia yeye au wapwa wa TL walioko kule ikugi.

Tusirembe maneno njia anayotumia TL haikubaliki kwa yeyote yule anaye jua hatima ya yale anayoyafanya kama hatua za makusudi hazitachukuliwa kudhibiti kusudi lake.

Kama kulikuwa na sababu za msingi za kushindwa kulipia matibabu yake hizo hizo ndizo zilitakiwa kutomlipa stahiki zake. Bunge walikosea kuwa na double standards.

TL kunyimwa mshahara, kunyang'anywa pasipoti kuvuliwa ubunge na mengine mengi yanayo fanana na hayo ni hatua muhimu kwa Taifa lolote lile ambalo liko serious. TL kwa mazingira aliyojitengenezea hana tofauti na Snowden kwa hiyo lazima tuone juhudi na seriousness ya wanatuongoza. Kiongozi/viongozi anaonekana na kupimwa katika crises kama hizi unashghulikaje nazo.
 
Back
Top Bottom