Gari inahitajika!!!!!

belak

Senior Member
Jul 23, 2016
179
377
Habari wanajamvi! Ninahitaji gari lkn ni kwa mbadilishano wa miti ya mbao ina miaka nane! Gari iwe kwenye hali nzuri tutafikia muafaka nimkatie ekari ngapi kulingana na ubora wa gari! Miti ipo iringa kilomita 8 toka barabara ya lami! Iko vzr sana kwa anayehitaji tuwasiliane kwa namba 0718 456 308!
 
wasiliana na tanesco wauzie nguzo za imeme. Hakunaga Tena biashara ya kubadilisha
 
Back
Top Bottom