Ushauri: Nina mil 150 niwekeze katika nini?

farujoni

Senior Member
Dec 19, 2016
190
250
Hi wapendwa kwa rehma zake mwenyezi Mungu, nimepata haka kamzigo naomba ushauri ili kesho yangu iwe na kheri niwekeze katk biashara gani na mtaji huu

asanteni kwa maoni
Me nakushauri wekeza katika fixed deposit utapata 21,000,000 kama retun ambapo ukiongea nao vizuri utapata 1,750,000 kila mwezi hiyo ni retun tuu apo nazungumzia return ya 14% na unaweza pia chukua hiyo 21 milion up front ukitaka for 1 year
 
Dreadnought

JF-Expert Member
Mar 25, 2013
1,344
2,000
Me nakushauri wekeza katika fixed deposit utapata 21,000,000 kama retun ambapo ukiongea nao vizuri utapata 1,750,000 kila mwezi hiyo ni retun tuu apo nazungumzia return ya 14% na unaweza pia chukua hiyo 21 milion up front ukitaka for 1 year
Samahani mkuu, kwa mfano ukiweka mil 5 kwenye hiyo fixed deposit kwa mwezi unapata return bei gani?
 
dist111

JF-Expert Member
Nov 29, 2012
3,256
2,000
Hizi ni zama za viwanda, na hiyo hela inatosha saana kufungua kiwanda kama una eneo na jengo la kuanzia. kama huna unaweza pangisha pia.

Problem pekee ni aina ya kiwanda na marketing strategy yako. ila ukiwekeza kwenye kiwanda hutatoka kapa. tena anza na 100M zilizobaki weka fixed deposit ya 1yr. utaongeza mtaji wako ukishaijua hiyo busness vzr
 
belak

Senior Member
Jul 23, 2016
180
500
Kama umepata hela yote hiyo tena kwa njia halali afu unashindwa uziwekeze wapi? Kuna problem au unataka utakatishee?. Waweza nipa mimi nizifanyie kazi, tutalipana faida kubwa zaidi ya hiyo fixed deposit.
Nimepata kihala hii fedha ndugu yangu. niliwahi post hapa biashara yangu mchina kaja alikuwa anahitaji lile eneo coz lilikuwa karibu na town katoa hela.
 
KUNDAN

Member
Nov 30, 2012
34
95
Aisee njoo brother nikushauri ,nitakulengesha kila hatua. ila utanilipa 1M for consultation and showing you bussiness channels .then tuingie agreement ya 6% of your annual profit.only for first year.
my friend wewe ni millionea and after 8 months you will become a billionea ,Displine katika pesa inahitajika.
 
belak

Senior Member
Jul 23, 2016
180
500
Me nakushauri wekeza katika fixed deposit utapata 21,000,000 kama retun ambapo ukiongea nao vizuri utapata 1,750,000 kila mwezi hiyo ni retun tuu apo nazungumzia return ya 14% na unaweza pia chukua hiyo 21 milion up front ukitaka for 1 year
Really? benki gani wanafanya hiyo kitu nilijaribu kuuliza baadhi ya benki wananiambia milioni nne baada ya miezi minne
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom