Wasalaam
Hoja yangu leo inajikita kwenye usafirishaji wa abiria kupitia mabasi ya mikoani
Wakati dunia inajitahidi kwa kuvumbua namna rahisi za kuendesha mambo na kutafsiri sheria ngumu ili kuziboresha na kupafanya duniani mahali pazuri kwa kuishi sivyo ilivyo Tanzania.
Naomba maoni hapa nikiuliza swali!
Hivi kuna sababu gani na tija gani basi linalotoka mbeya au kwingineko kwa mfano: kuingia mizani ya makambako, kisha iringa, kisha mikumi, kisha mikese, kisha vigwaza? Basi hilohilo wakati takwimu zinaonesha kwa mwaka hakuna basi lolote linalozidi uzito???????
Upotevu wa muda na usumbufu ktk mizani yote hii ni takribani jumla ya saa moja hadi mawili! Kwanini tunatesana hivi wakati kuna uwezekano wa kupima hata Mara moja au mbili tuu!
Utaratibu huu unaumiza sana abiria wanaosafiri Massa 14 kutoka mbeya tu hapo kuja dar au mwanza nk
Nashauri matumizi ya akili na ufanisi ktk kero mbalimbali za wananchi,
Maoni tafadhali