Search results

  1. M

    Majirani zetu Kenya na Uganda wana bodaboda wasiyozingatia Sheria kama Tanzania?

    Wakati mashindano ya AFCON yalipokuwa yanafanyika huko Ivory Coast, nilimsikia mmoja wa wanahabari aliyekuwa huko akituhabarisha kilichokuwa kinaendelea akisema boda boda wa huko wana nidhamu sana. Wakifika kwenye taa za barabarani wanasimama mpaka pale taa ya kijani itakapowaruhusu kuendelea...
  2. M

    Si sahihi kumpa maagizo Waziri Mkuu hadharani, si kila kiongozi anaweza kupewa maagizo hadharani

    Hivi muda ambao Makonda alimpa Waziri Mkuu kumaliza tatizo la migogoro ya ardhi umewadia? Kama bado je kuna dalili za migogoto hiuo kwisha. Je muda ukifika na migogoro hiyo bado iko pale pale je Makonda anawezak kuchukua hatua dhidi ya Waziri Mkuu?
  3. M

    Makonda na Maagizo yake

    Wakuu nauliza muda ambao Katibu Mwenezi wa CCM, Paul Makonda ambazo alimpa Waziri Mkuu, Mh. Kassim Majaliwa kumaliza tatizo la migogoro ya ardhi unatazamiwa kuisha lini? Je tangu agizo hilo litolewe migogoro imepungua? Na je ikidhihirika kwamba tatizo la migogoro ya ardhi bado liko pale pale...
  4. M

    Wananchi tuna haki kufahamu alipo Makamu wa Rais Philip Mpango

    Kigogo amekwishaongea kuwa Karimjee hapatatosha kutokana na matukio ya vigogo 2, waandae uwanja wa Mkapa. Ukitaka taarifa mtafute Kigogo. Usisubiri serikali hii ya CCM.
  5. M

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Rais Magufuli ni mzima na anachapa kazi. Wanataka atoke, atoke aende wapi? Kariakoo au Magomeni?

    Kama ningekuwa na nafasi ya kumshauri Mhe. Majaliwa. ningemwambia anyamaze kuhusu suala la kutoonekana Mhe. Makamu wa Rais. Watanzania bado hatujasahau jinsi alivyotudanganya suala la JPM - kwamba ni mzima na anachapa kazi! Tunatamani Mh Mpango awe ni mzima na anachapa kazi lakini Majaliwa...
  6. M

    Kuna mengi ambayo askari wa usalama barabarani wa Tanzania wanapaswa kujifunza kutoka kwa wenzao wa Rwanda

    Nimerudi juzi Jumapili kutoka Kigali, Rwanda ambako nilikwenda na wenzangu 3 kwa shughuli za biashara. Tulikwenda kwa usafiri wa gari binafsi. Tulikaa huko siku 3. Nilishuhudia kitu kimoja kuhusu traffic polisi wa huko, jambo ambalo lilinifanya nitafakari na kulinganisha na traffic polisi wa...
  7. M

    Watanzania tumuombee Dkt. Tulia Ackson ashinde Urais wa IPU

    Mimi simwpmbei> sifirashishwi na jisi anavyoendesha shughuli za bunge hasa pale anapokuwa anaacha kiti chake cha uspika na kugeuka kuwa msemaji wa serikali. Ashindwe tu
  8. M

    Hospitali za Umma Tanzania kutumia rasilimali finyu za Taifa kwenye mambo yasiyo vipaumbele

    Ni aibu kwa hospitali kubwa kama Mloganzila, tena ya umma ikitumia raslimali zake kufanya upasuaji wa aina hii. Mpango huu usitishwe mara moja.
  9. M

    Mbowe aondolewe kwa nguvu kama mwenyekiti wa CHADEMA. Amezoea kufanya biashara za kisiasa, hafai

    Nyie Sukuma gang mbona mnaweweseka sana na Mbowe na mnamwach John Momose Cheyo ambaye amekuwa mwenyekiti wa UDP kwa muda mrefu zaidi ya ule ambao Mbowe amekuwa mwenyekti wa CHADEMA?
  10. M

    Dar es Salaam ni "Jiji la Mizimu" (Ghost City)

    Wiki iliyopita nilitembelea jiji la Dar es Salaam baada ya kipindi cha takribani miaka 5. Niliingia jijini usiku na nilishangaa maeneo ya katikati kabisa mwa jiji - Askari Monument, Mtaa wa Azikiwe na Samora hakuna taa za kuangaza mitaa. Mitaa hii maarufu ni giza. Barabara zake zimechoka ila...
  11. M

    Viongozi wetu wajifunze kutoka kwa Uhuru Kenyatta

    Ni muhimu viongozi wetu wajifunze kuwa na busara wanaposhughulika na watu wanaotofautiana nao. NItaeleza. Mnamo mwaka 2018 huko Kenya, mwaka mmoja baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika mwaka 2017 ambapo Uhuru Kenyatta alitangazwa kushinda kiti cha urais akimshinda mpinzani wake mkuu Raila Odinga...
  12. M

    Niwe mkweli kabisa, Nimefurahi Dkt. Slaa kuwekwa ndani

    Kikaniki itabidi sasa unune kwa kuwa Dr.Slaa sasa kapewa dhamana.
  13. M

    Mtoto wa Rais Samia, Abdul ana cheo gani Serikalini/Wizara ya Nishati hadi akutane na Rais Museveni?

    Dogo amekwenda na wafanya biashara wenzake. Hakwenda na mtu yeyote kutoka serikalini. Ni kawaida kwa wafanya biashara na wawekezaji kukutana na marais wa nchi wanazotaka kuwekeza. Ndo sababu hara Rostam Aziz alikutana na Rais Ruto kuhusu kuwekeza mitambo ys gas huko Mombasa.
  14. M

    Mtoto wa Rais Samia, Abdul ana cheo gani Serikalini/Wizara ya Nishati hadi akutane na Rais Museveni?

    Mookisbad98 umeeleza vizuri. Niwape mfano mwingine. Mwaka jana mwishoni Rostam Aziz alikwenda kuonana na Rais Ruto kuhusu kuwekeza mitambo ya gas huko Mombasa. Aliweza kufanya hivyo japo yeye si mtoto wa Rais. Acha dogo afanye biashara.
  15. M

    Mtoto wa Rais Samia, Abdul ana cheo gani Serikalini/Wizara ya Nishati hadi akutane na Rais Museveni?

    Taarifa ya Rais Museveni imesema "delegation from Tanzania" yaani ujumbe kutoka Tanzania. Haikusema "delegation from the Tanzania government" ujumbe wa serikali ya Tanzania. Kama huyo kijana alikwenda Uganda akiongoza ujumbe wa wafanya biashara wenzake kuna ubaya gani?
  16. M

    Ubinafsishwaji Bandari tatizo la Watanzania ni lugha ya Kingereza, Mkataba upo sawa

    Una maana Prof Shivji, Mzee Warioba, etc hawajui Kiingereza?
  17. M

    Ulipokea vipi Msiba wa Hayati Magufuli?

    Nilichinja kondooaliyenona na kufanya sherehe. Nyama choma na vimiminishi kwa wingi> Kwa hakika ilikuwa siku nzuri sana kwangu na washikaji wangu!
  18. M

    Ndege ya Tanzania (ATCL) iliyokuwa ikishikiliwa nchini Uholanzi imeachiwa na kurejea nchini

    Ndo sababu mtazamo wangu kwa vyombo vya habari vya Tanzania ni chanya. Tunahitaji kupata habari zaidi kuliko kutoa taarifa kwamba ndege yetu imerudi. Sote tunafahamu kwamba ndege ilikamatwa huko Uholanzi baada ya kampuni ya EcoDevelopment ya Sweden kupeleka shauri mahakamani ikidai fidia ya...
  19. M

    Ni nini hatima ya maelfu ya hotel za kitalii zilizopo jiji la Arusha?

    International airport zote duniani huwa na hotel kadhaa katika viunga vya uwanja wa ndege. Kwamba KIA au JNIA haina hotel ni kituko. Kwa kwaida hoteli hizo hulenga wasafiri ambao kwa sababu moja au nyingine hulazimika kulaa hapo au kupumzika hapo kwa muda mrefu wakisubiri connection. Huwa...
Back
Top Bottom