Mtihani huu mwenye kusahihisha ni wananchi,hatari wenye nchi wanaogopa mamlaka yao waliyoyatumia kuiweka serikali,bila katiba Bora ya wananchi hata Jeshi la malaika likishuka litakuwa CCM
Lyatonga Mrema alitenguliwa kwa kutoa Siri za Baraza la Mawaziri akiwa waziri wa mambo ya ndani na naibu waziri mkuu.
Maanake alitoa hadharani Siri ya wizi unaofanywa na kubarikiwa na Baraza la Mawaziri.
Mfumo huo bado unaendelea japo hakuna waziri mwenye gut kama aliyekuwa nayo Mrema,wote...
Rais wa awamu tatu Benjamin William Mkapa alipoingia madarakani aliunda tume iliyoongozwa na Jaji Warioba, kuchunguza rushwa na udhibiti wake.
Kila mmoja aliunga mkono dhamira ya dhati ya Ben. Kilichotokea baada ya taarifa za matokeo ya tume hiyo, alihojiwa kwanini amekwenda nje ya hadidu za...
Shida ya wabunge wanawajibika kwa Mwenyekiti wao ambaye ndiye Rais,hawana nguvu ya ushawishi ndani ya chama ambayo Rais anayo.
Wakimwaga ugali bungeni yeye anamwaga ugali ndani ya chama atakayeumia wabunge wasaka tonge that's all
Maanake ukubwa wa taasisi ya urais hauna tija hata kama Rais si mwanasheria,pili tumekuwa na Marais copy and paste ambao wanajua kusaini bila perusing kwa hiyo kama kuchomekewa ni sababu ya udhaifu wao tu.
Anapofanga vikao na wadau mbalimbali inaonyesha haweki kumbukumbu ya kile alichokisemea...
Taifa linapaswa kujiuliza kama chaguzi zetu ni sahihi kuwepo,Taifa letu ni sovereignty state au ni monarchy state. Hawezekani kila tunapoelekea uchaguzi mbalimbali za kisiasa Taifa linapotezewa uwezo wa kuhifadhi haki za binadamu hususani haki za kuishi na Uhuru wa mawazo.
Ikiwa suala la...
Maamuzi mengi ya serikali yanapitia kwenye Baraza la Mawaziri chini ya Rais ambaye ndiye Mwenyekiti wa CCM Taifa.
Uwajibikaji wa serikali unamlenga waziri mkuu kwa kuwa ndiye msimamizi mkuu wa kazi zote za serikali,na waziri Mkuu huyu atapokea maelekezo toka kwa Rais na si vinginevyo.
Drama...
Kaka mnasifia mpk mnaboa,nani anajua majukumu ya mama kwa mwanae. Mama yupo tayari kulala njaa watoto wake watibiwe.
Angalia issue ya bima ya afya - afyatoto mama wa Taifa anapingana na mpango wa millennium kuzuia vifo vya watoto chini ya umri wa miaka mitano.
Zuio hili si la Ummy ni zuio la...
Kwa mujibu wa katiba ya JMT suala la rasilimali za Taifa limejengewa wigo mpana wa ulinzi wake kupitia ibara ya
27.-(1) Kila mtu ana wajibu wa kulinda maliasili ya Jamhuri ya Muungano, mali ya mamlaka ya nchi, mali yote inayomilikiwa kwa pamoja na wananchi, na pia kuheshimu mali ya mtu...
Katika eneo ambalo CCM na serikali yake ina upiga mwingi kwa msemo wa machawa na wafuasi wake ni kwenye uteuzi na utenguzi.
Hii ni moja ya sera yao ambayo hakunadiwa katika ilani yao lakini wasimamizi wake wa ilani wanaishadadia sana.
Huu ni mfumo ambao unazoeleka lakini hatuoni impact ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.