Search results

  1. Mohammed Hamad

    Nimerudi baada ya kitambo kidogo

    Asalam alaikum mabibi na mabwana baada ya muda mrefu nimerudi JF kwa wale tuliokuwa tumeconnect nitafurahi kusikia kutoka kwenu. Shukran kwa wote 🙏🏽
  2. Mohammed Hamad

    Job opportunities on ICD

    The following vacancies are available for newly opened car freight station (ICDV/CFS) in Chang'ombe area near National Stadium. Our objectives are; 1.Reduction of Cargo congestion at the DSM port. 3. Improve transport productivity and intermodal capacity. 4. Create employment. 5. Become a...
  3. Mohammed Hamad

    Msaada mwenye key za windows 7 plz

    Habari zenu, Naomba mwenye keys za windows 7 anisaidie. Shukran.
  4. Mohammed Hamad

    Kama ni wewe utafanyaje?

    Kuna mwanamke mmoja alimuomba mpangaji mwenzake wa kiume ndoo ya kuogea,alipomaliza kuoga akamrudishia jamaa ndoo yake. Baadae akakumbuka kama amesahau chupi yake kwenye ile ndoo, akamwambia yule jamaa,nae jamaa akamwambia ingie ndani aichukue. Wakati anatoka ghafla mume wake akawa anarudi...
  5. Mohammed Hamad

    Must watch: A day made of glass made possible.

    Dear JF members, Kindly please spend sometime to see this. It is amazing what the future holds for our children and the young. Best Regards, Mohammed A Day Made of Glass 2: Unpacked. The Story Behind Corning's Vision. (2012) - YouTube A Day Made of Glass Made possible by Corning 2012 -...
  6. Mohammed Hamad

    Blackberry Pin Exchange

    Lets share our Blackberry PIN and become friends. Mine is 28FA4DC2
  7. Mohammed Hamad

    The Truth Behind St. Valentine’s Day

    St. Valentine's Day is the world's "holiday of love." Since the Bible states that God is love (I John 4:8, 16), does He approve of the celebration of this day? Does He want His people-true Christians-partaking of the candy and cards, or any customs associated with this day? When God says He...
  8. Mohammed Hamad

    Fancy pigeons

    Kwa wale watakao hitaji fancy pigeons naomba wani PM. Naambatanisha picha ya njiwa ambao ninataka kuwaingiza nchini. CC: Malila,Mama timmy,
  9. Mohammed Hamad

    Msaada: Kwa wakazi wa jiji la Arusha.

    Habari ndugu zanguni wana jf. Kwa ndugu zangu wa Arusha naomba msaada kama kuna mtu anaweza kunisaidia kupata "speckled Pigeon" njiwa hawa wanapatikana Arusha, Dodoma na Tabora. Mimi ni one of few pigion breeder in Tanzania na nina species chache za njiwa kama American Fantail, African owl...
  10. Mohammed Hamad

    Kama unajua english uta-enjoy

    A guy stuck his head into a barber's shop and asked, "How long before I can get a haircut?" The barber looked around the shop full of customers and said,"About 2 hours." The guy left. A few days later the same guy stuck his head in the door and asked, "How long before I can get a...
  11. Mohammed Hamad

    Fahamu madhara ya kuongeza makalio

    Kwa ufupi NI SARATANI, MAABUKIZI, KUVIMBA NGOZI NEW YORK, Marekani VIDEO iliyoonyweshwa mwishoni mwa wiki katika mitandao mbalimbali ya kijamii, ambayo ilielezea madhara ya taratibu anayoyapata mwanamke aliyeongeza ukubwa wa makalio, kwa dawa za silkoni imewashtua wanawake...
  12. Mohammed Hamad

    Dr Amani Karume alikudia lipi kati ya haya?

    Dk Amani karume aliposema CCM wa ZANZIBAR kama samaki alikuwa na maana moja kati ya hizi 1) wanalana wao kwa wao. 2) ni rahisi kukamatika (kwa mitego wanayoiona kila siku) 3) wakubwa ndio wenye sauti mbele ya wadogo. 4) hata ukiwaona wengi hawawezi kupindua meli. 5) siku zote hasira zao...
  13. Mohammed Hamad

    Gari inauzwa

    Inahitaji matengenezo madogo na imetembea 2407 km tu Inafaa kusambazia mikate/mayai nk Serious buyer only PM me.
  14. Mohammed Hamad

    Viongozi wa CHADEMA Mwanza wahukumiwa

    Mahakama ya hakimu mkazi wa Mwanza, imemhukumu kwenda jela miezi mitano Katibu wa Chadema Wilaya ya Ilemela John Anajus huku ikiwatoza faini ya shs 620,000 viongozi wengine akiwemo Mkurugenzi wa Oganaizesheni wa Taifa, Benson Kigaila na madiwani wawili.
  15. Mohammed Hamad

    Je hata humu watu waandamane?

    Habari zenu wanajf, Nimesikitishwa sana na mods kuitoa thread jadid ya ndugu Mohamed Said bila sababu ya msingi. Nasema bila sababu ya msingi kwakuwa hoja zilizoletwa mbele yetu tuzijadili hazikupata mchango mkuwa. Tumeona wanaoleta hoja hafifu dhidi ya "waislam" na "uislam" zimekuwa zikiachiwa...
  16. Mohammed Hamad

    Tanzania: Bei ya mafuta yapanda!

    Habari za usiku mabibi na mabwana. Ninataarifa mbaya kwa watumiaji wa nishati ya mafuta hususan wale wenye magari na wafanyabiashara ya usafiri. Bei mpya elekezi inayotoka kila mwezi ipo tayari na inategemewa kuanzza kutumika kesho. Bei hii mpya inasemekana itaongezeka kwa shilingi 300...
  17. Mohammed Hamad

    Kwanini waislamu hawana imani na vitengo vinavyohusika na takwimu?

    KWA NINI WAISLAMU HAWANA IMANI NA VITENGO VINAVYOHUSIKA NA TAKWIMU? Hili ni suala muhimu kulipatia jibu na kulifahamu kwa kina sisi kama Waislamu. Wengi wana maoni kuwa kitendo cha Waislamu kuomba kushirikishwa katika Sensa na kuomba kuingizwa kwa swali la Dini ni ukorofi tu wa Waislamu...
  18. Mohammed Hamad

    Sir Alex Ferguson hopeful over Van Persie signing: We've made a bid & we have to perservere

    The Manchester United manager confirms that the Red Devils have made a solid offer for the Arsenal striker and admits he is unsure as to how the north London side will respond. Van Persie has been the subject of much speculation in recent weeks, with United, Manchester City and Italian...
  19. Mohammed Hamad

    'I could make a difference' – Usain Bolt wants Manchester United trial

    Not content with sprinting into Olympic history by winning 100 metres gold in 9.63 seconds at London 2012, the Jamaican hero wants to get a chance with his favourite club Sprinting icon Usain Bolt insists that he is serious about wanting a trial with Manchester United. The 25-year-old...
  20. Mohammed Hamad

    Sikia hii

    Wendawazimu watau waliamua kufungua shule chini ya mti. Wakaokota vitabu wakajifanya wanasoma. Kesho yake wakamkuta mmoja wao amepanda juu ya mti. Kumuuliza mbona uko juu? akawajibu niko high school.
Back
Top Bottom