Mohammed Hamad
JF-Expert Member
- Jan 17, 2011
- 3,988
- 1,304
Wendawazimu watau waliamua kufungua shule chini ya mti. Wakaokota vitabu wakajifanya wanasoma. Kesho yake wakamkuta mmoja wao amepanda juu ya mti. Kumuuliza mbona uko juu? akawajibu niko high school.