Search results

  1. Mvumbo

    Macho ya Dunia nzima yapo kwako Iran, huu ni muda wa kulinda heshima yako!

    Naam Ni mengi yamejiri juu yako na heshima yako imeshushwa! Umetafutwa ugomvi kwa muda mrefu ili kobe atoe shingo, umefedheheshwa Iran na hata ile mipango yako ya Nyuklia imekuwa ikidhibitiwa ili wazidi kukuonea. Umewekewa vikwazo lakini bado unazalisha silaha na kujitegemea kinyume na...
  2. Mvumbo

    Ufalme wa Mwizi na hatma yake

    Salaam Leo nimekumbuka kisa cha ndugu yetu mwizi (kaka yangu mtoto wa mama mdogo) ambae alikuwa ameiva kwenye wizi hasa wa kutumia uchawi na mbinu kali za kitapeli. Nyakati hizo nilikuwa naishi karibu kabisa na nyumba ya familia ya Babu mzaa mama, na mama yangu pamoja na ndugu zake walikuwa...
  3. Mvumbo

    Baadhi ya wahitimu wa Darasa la saba kubadilishiwa namba siku ya Mtihani! Wizara itoe ufafanuzi

    Salaam Nimeamka asubuhi hii na kama ilivyo ada huwa nasoma habari mbali mbali kujua mambo yanakwendaje kisha ndio nielekee kwenye majukumu yangu, ghafla nakumbana na Video hii ya mtoto aliyehitimu darasa la saba akilalamika kubadilishiwa namba ili lengo afelishwe na nafasi yake apewe mwengine...
  4. Mvumbo

    Thread maalum ya wapenda Pikipiki kubwa

    Duniani kila mtu na mapenzi yake, kuna watu hata wawe na gari ngapi lakini hawakosi pikipiki kubwa. Kuna watu hata uwape pikipiki ndogo lakini hawatakaa nazo au watatumia kwa shida tu lakini mapenzi yao ni kwenye pikipiki kubwa. Na pia kuna watu japokuwa hawajakuwa na uwezo wa kuzimiliki...
  5. Mvumbo

    Ujasiri, matokeo na tulipo sasa

    Salaam Kwenye maisha kuna mambo yanatokea na ni mazito na wayafanyayo hawapendi kuambiwa hasa kama mambo yenyewe ni mabaya, wengi hawathubutu kutoa kauli juu yao haswa kama wahusika ni watu wenye nguvu...naam lakini wachache huweza kujitokeza na kukosoa tena uso kwa uso. Lakini je, nini hatma...
  6. Mvumbo

    Saa moja ya 'mapambano' mimi na waliojitambulisha kuwa ni Polisi

    Salaam Natambua kuwa wapo askari wetu wa jeshi la Polisi waadilifu na wenye kujitoa kwa moyo wa dhati na kuweka roho rehani ili sisi wananchi tubaki salama, heshima kwao, leo naelezea mkasa ulionikuta kutoka kwa Askari wasio waadilifu ili kulitibu Taifa, fuatana nami. Yalikuwa majira ya jioni...
  7. Mvumbo

    Kwa nilichoshuhudia leo, nashauri msiendeshe gari mkiwa mmelewa

    Habari Majira ya saa sita mchana leo nikiwa na gari ndogo ndani nikiwa na mama wa makamo pamoja na msichana mwenye mtoto mdogo tukitoka vijijini kuelekea mjini. Barabara ni ya changarawe na yenye kona nyingi na pia ni barabara tegemezi kwa kupita magari mengi kutoka wilaya za vijijini, ghafla...
  8. Mvumbo

    Umeshawahi kunusurika kifo? Tuelezane ilivyokuwa, kama njia ya kumshukuru Mungu

    Salaam Maisha yana mapito mengi mazuri na mabaya na pia yapo yale ambayo unaona kabisa hiki ndiyo kifo chako ila unajikuta hai tena bila kutarajia! Binafsi nimepitia mengi na namshukuru Mungu kuniepusha, leo nitashea nanyi. Twende pamoja. Wakati bado ni kijana wa miaka kama 20 hivi nilikwenda...
  9. Mvumbo

    Nakufundisha kuhusu binadamu na hulka zetu

    Salaam, Kwa muda sasa nimekuwa nikisoma thread mbali mbali humu, wengine wakilalamika kusahauliwa na walio wasaidia, wengine wakilalamika kudharauliwa na ndugu zao kisa hawana kitu, wengine wakilalamika kuchukiwa kisa mafanikio yao n.k. Binafsi nimeishi maisha tofauti tofauti na pia kuona...
  10. Mvumbo

    Jana nimeng'atwa na nyoka mguuni!

    Habari Waswahili wanasema hujafa hujaumbika, lakini pia wanasema usimdharau mtu....naam haya jana niliyathibitisha katika maisha yangu. Nilifanikiwa kukamilisha kibanda pembeni ya mji ndipo ninapoishi na sina muda mrefu sana tangu nihamie hapo, kama ilivyo sehemu kama hizo nikaona nianzishe...
  11. Mvumbo

    Iran wana uwezo zaidi katika medani za kivita?

    Salaam Nyakati hizi ni mengi yanazungumzwa na kuandikwa kuhusu yanayo endelea Iran na Marekani ila tufikiri nje ya box kidogo kuhusu Iran. Inatambulika Taifa lenye nguvu duniani ni Marekani katika nyanja zote za uchumi na kijeshi na pia wana mfumo wa kujilinda katika kambi zao zote za...
  12. Mvumbo

    Mbwa huyu ni chotara wa aina gani?

    Habari wakuu, Kwa wale wajuzi wa aina za mbwa naomba mnisaidie utaalamu wenu kwa mbwa huyu, anaonekana ni chotara sasa ndio nataka kuelewa amechanganyia na mbwa gani kwa muonekano wake. Ana mkia mfupi na mnene na kifua kipana.
  13. Mvumbo

    Nawezaje kutumia Solar Tv katika umeme wa Tanesco?

    Habari wataalam, Nina Tv flat ya solar pekee (hizi zinazokuja na vifurushi vya umeme wa jua kama Mobisol na Zola) Je, naweza kuongeza kifaa gani ili nitumie katika umeme wa ac? Ni lazima nipate Inveter au hata adaptor kama hii inafaa? Sina utaalam katika masuala ya umeme hivyo naombeni msaada...
  14. Mvumbo

    Umewahi kupata mkasa gani barabarani?

    Salaam Vyombo vya usafiri tunavitumia kutusaidia kutoka sehemu A kwenda B hivyo ni sehemu ya maisha yetu ya kila siku, lakini pia vyombo hivi vinahitaji umakini wa hali ya juu sana uwapo barabarani kwani kosa moja linaweza kupelekea umauti, kilema, uharibifu au hata kupata kesi. Pia muda...
  15. Mvumbo

    Paka akifanya mchezo anabanwa

    Katikati ya usingizi usingizi mzito wa mchana
  16. Mvumbo

    Michano/Hiphop/Freestyle

    Kwanza nawapa salamu, nazingatia itifaki/ Nadhani Mvumbo mnamfahamu, kwenye mistari mimi ndiye chaki/ Naandika zaidi ya kalamu, mwana Hip hop kindaki ndaki/ Ma mc's wa Jamii Forums, karibuni nyuma msibaki/ Leo mitandaoni ukisema usome, habari zimejaa ukakasi/ Huku Kiba anasema UNIKOME, huku...
  17. Mvumbo

    Kumbe kujiandikisha na lazima kiasi hiki!

    Hapo si mchezo!!! ======= Baada ya kuongezwa kwa siku tatu za kujiandikisha katika orodha ya wapiga kura kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Mkuu wa Wilaya ya Uyui Mkoani Tabora, Gift Msuya ameamua kupita Kijiji kwa Kijiji, Mtaa kwa Mtaa na nyumba kwa nyumba kuhamasisha Wananchi...
  18. Mvumbo

    Mvua imetaradadi, yanayo endelea unayajua?

    Salaam Kutokana na mvua zinazonyesha sehemu tofauti ni mengi yameibuka! Huko Dar es salaam baadhi ya vijana wetu wamebadili chakula na sasa wanatumia chakula hiki!
  19. Mvumbo

    NA HUU NDIO UBAHARIA

    Salaam Ndugu zetu wengi wametokea kuupenda Ubaharia na kujitanabaisha katika jina hilo pasi na kujua miiko na taratibu zake, na wengi hudhani ubaharia ni matendo ya hovyo, hapana. Kama mkongwe katika tasnia hii ya ubaharia nimeona niwape somo vijana ili waive kisawa sawa kwa mustakabali wa...
  20. Mvumbo

    Mtandao wa Tigo mmenitapeli?

    Tarehe kumi na tatu ya mwezi huu nilinunua kifurushi cha mb cha shilingi elfu tano kupitia account yangu ya Tigo pesa, lakini hakijafika kifurushi na pesa yangu mmechukua. Nikaona rabda kitakuja ni mambo ya mtandao tu hivyo ninunue kingine kidogo cha 500 lakini hali ikawa ile ile hata baada ya...
Back
Top Bottom