Ujasiri, matokeo na tulipo sasa

Mvumbo

JF-Expert Member
Aug 20, 2015
3,441
11,936
Salaam

Kwenye maisha kuna mambo yanatokea na ni mazito na wayafanyayo hawapendi kuambiwa hasa kama mambo yenyewe ni mabaya, wengi hawathubutu kutoa kauli juu yao haswa kama wahusika ni watu wenye nguvu...naam lakini wachache huweza kujitokeza na kukosoa tena uso kwa uso.

Lakini je, nini hatma ya maisha yao?

Je, bado tunao watu wa aina hii?

Tutazame video hii...
 
Back
Top Bottom