Iran wana uwezo zaidi katika medani za kivita?

Mvumbo

JF-Expert Member
Aug 20, 2015
3,444
11,941
Salaam
Nyakati hizi ni mengi yanazungumzwa na kuandikwa kuhusu yanayo endelea Iran na Marekani ila tufikiri nje ya box kidogo kuhusu Iran.

Inatambulika Taifa lenye nguvu duniani ni Marekani katika nyanja zote za uchumi na kijeshi na pia wana mfumo wa kujilinda katika kambi zao zote za kijeshi, na pia wana aircraft zisizo onekana katika Radar na kuingia nchi yeyote bila kujulikana.

Tukija upande wa Iran ni nchi ambayo ina Technology yake lakini si kwa ukubwa Marekani, hali inayofanya Iran ikitoa kauli yake inaonekana kama mbwa koko mpaka hili walilo lifanya kushambulia kambi mbili za Marekani kule Nchini Iraq wengi hawaamini.

Swali la nje ya box ni kuwa je, ile ndege ya Marekani isiyoonekana katika rada ilionekana vipi na jeshi la Iran mpaka wakaitungua?

Je, kambi zile mbili za Marekani zenye mfumo wa kujilinda na makombora, imepitaje mizinga ya jeshi la Iran bila kuzuiliwa wala kuonekana katika rada za usalama?
Je Iran ina uwezo zaidi ya vile wengi wanavyoifikiria katika medani za kivita?

Tujadili...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iran wanaweza kusubiri vita ya kupigana na masiraha lakini unaweza kukuta wenzie huko walishatoka kitambo. Umesikia tetemeko la ardhi lililotokea leo Iran karibu na kinu cha nukrea?

Sent using Jamii Forums mobile app
=Nuclear

Unaweza kudhani ni la asili kipindi hiki?

Tetemeko ni kama mvua au upepo, linaweza tokea muda wowote, hata hapo ulipo linaweza tokea.
 
Nasema hivi iran akitia mguu ulingoni anapigwa knock out, kwasababu saizi yuko nje ya ulingo lakini amejigijara

Amekua kama mlevi wa pombe kali aliyetoka kilabuni kwa mikwara na maneno mengi lakini alipofika sehemu ambapo kuna historia ya vibaka kukaba watu ametulia kimya wala hapigi kelele. Baada ya kuvuka hilo eneo la vibaka ameanza kelele tena "ooh we jirani yangu huniwezi"

Anae ringanisha uimara wa iran na marekani huyo mtu anakua hana taaluma hata ya ulinganifu, kwasababu Kuna utofauti mkubwa sana kati ya electricity fense na pazia. sasa huyu wa pazia kapata wapambe wanamjaza upepo kua yuko sehemu salama kuliko huyu mwenye ameweka uzio wa umeme

Nimetenga kama laki 5 hivi baada ya kukosa wazo la biashara kwa muda mrefu, nategemea siku ambayo marekani akitupa bomu kuelekea iran mimi nitafunga safari kwenda iran na gunia la viazi ili nikafungue biashara ya chips maana mishakaki nitaikuta huko huko

It's Scars
 
Nukrea
Iran wanaweza kusubiri vita ya kupigana na masiraha lakini unaweza kukuta wenzie huko walishatoka kitambo. Umesikia tetemeko la ardhi lililotokea leo Iran karibu na kinu cha nukrea? Unaweza kudhani ni la asili kipindi hiki?

Sent using Jamii Forums mobile app
Tetemeko la Ardhi Linakua nanyakati maalum kwan

Masiraha
vita ya silaha haitakaa iishe ila kuna uboreshwaji tu wasilaha zenyewe

IRAN Super Power Yamashariki Yakati Hata US Wanaelewa.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasema hivi iran akitia mguu ulingoni anapigwa knock out, kwasababu saizi yuko nje ya ulingo lakini amejigijara

Amekua kama mlevi wa pombe kali aliyetoka kilabuni kwa mikwara na maneno mengi lakini alipofika sehemu ambapo kuna historia ya vibaka kukaba watu ametulia kimya wala hapigi kelele. Baada ya kuvuka hilo eneo la vibaka ameanza kelele tena "ooh we jirani yangu huniwezi"

Anae ringanisha uimara wa iran na marekani huyo mtu anakua hana taaluma hata ya ulinganifu, kwasababu Kuna utofauti mkubwa sana kati ya electricity fense na pazia. sasa huyu wa pazia kapata wapambe wanamjaza upepo kua yuko sehemu salama kuliko huyu mwenye ameweka uzio wa umeme

Nimetenga kama laki 5 hivi baada ya kukosa wazo la biashara kwa muda mrefu, nategemea siku ambayo marekani akitupa bomu kuelekea iran mimi nitafunga safari kwenda iran na gunia la viazi ili nikafungue biashara ya chips maana mishakaki nitaikuta huko huko

It's Scars
Wanangojea nn ss c wampige kwan

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanao ibeza ni wazungu weusi kutoka tandale lakini wazungu halisi wanaujua uwezo wa Iran na ndio maana kila siku wanafanya kila mbinu za kumdhohofisha.
Alafu kingine unacho takiwa kujua ni kwamba vita sio kitu rahisi kama wengi wanavyo dhani.
Namaanisha ya kwamba vita sio lele Mama haijalishi unayepigana naye ana nguvu gani au ni dhaifu kiasi gani.
 
Ilioneka mapema ilipokuwa ikitoka UAE,hpo ilikuwa imewasha sensors zake ndipo rada za Iran zikaiona.
Salaam
Nyakati hizi ni mengi yanazungumzwa na kuandikwa kuhusu yanayo endelea Iran na Marekani ila tufikiri nje ya box kidogo kuhusu Iran.

Inatambulika Taifa lenye nguvu duniani ni Marekani katika nyanja zote za uchumi na kijeshi na pia wana mfumo wa kujilinda katika kambi zao zote za kijeshi, na pia wana aircraft zisizo onekana katika Radar na kuingia nchi yeyote bila kujulikana.

Tukija upande wa Iran ni nchi ambayo ina Technology yake lakini si kwa ukubwa Marekani, hali inayofanya Iran ikitoa kauli yake inaonekana kama mbwa koko mpaka hili walilo lifanya kushambulia kambi mbili za Marekani kule Nchini Iraq wengi hawaamini.

Swali la nje ya box ni kuwa je, ile ndege ya Marekani isiyoonekana katika rada ilionekana vipi na jeshi la Iran mpaka wakaitungua?

Je, kambi zile mbili za Marekani zenye mfumo wa kujilinda na makombora, imepitaje mizinga ya jeshi la Iran bila kuzuiliwa wala kuonekana katika rada za usalama?
Je Iran ina uwezo zaidi ya vile wengi wanavyoifikiria katika medani za kivita?

Tujadili...

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanao ibeza ni wazungu weusi kutoka tandale lakini wazungu halisi wanaujua uwezo wa Iran na ndio maana kila siku wanafanya kila mbinu za kumdhohofisha.
Alafu kingine unacho takiwa kujua ni kwamba vita sio kitu rahisi kama wengi wanavyo dhani.
Namaanisha ya kwamba vita sio lele Mama haijalishi unayepigana naye ana nguvu gani au ni dhaifu kiasi gani.
Sahihi kabisa

Sahihi kabisa mkuu
 
Back
Top Bottom