Nawezaje kutumia Solar Tv katika umeme wa Tanesco?

Mvumbo

JF-Expert Member
Aug 20, 2015
3,444
11,942
Habari wataalam,
Nina Tv flat ya solar pekee (hizi zinazokuja na vifurushi vya umeme wa jua kama Mobisol na Zola) Je, naweza kuongeza kifaa gani ili nitumie katika umeme wa ac?

Ni lazima nipate Inveter au hata adaptor kama hii inafaa?
Sina utaalam katika masuala ya umeme hivyo naombeni msaada wajuzi.

20191119_102005.jpeg
 
View attachment 1266424
Wakikujibu unitag
 
Unaweza. Angalia nyuma ya tv kuna mahali wameandika voltage na ampia then ndo utapata majibu sahihi
 
Habari wataalam,
Nina Tv flat ya solar pekee (hizi zinazokuja na vifurushi vya umeme wa jua kama Mobisol na Zola) Je, naweza kuongeza kifaa gani ili nitumie katika umeme wa ac?

Ni lazima nipate Inveter au hata adaptor kama hii inafaa?
Sina utaalam katika masuala ya umeme hivyo naombeni msaada wajuzi.

View attachment 1266424
Kumbuka kuangalia hiyo Tv ina chukua volt ngapi? Watt ngapi? Na Ampia ngapi?

Ndipo utafutie adapter yenye sifa hizo!.... Over
 
Inahitajika Rectifire sio inveta kubadili Ac kuwa DC hivo nimuhimu kujua Volt na amp ili ufanyiwe Recto upate Adapta volt na amp sahihi watt sana haijalishi maana Volt na amp ndio huleta watt sahihi
 
Nunua adapter ya voltage 12 output zina range 15k mpaka 20k kutegemea na quality ya adapter, Technically Kama unataka kuchange AC to DC tunatumia Rectifier na sio inverter. Ila Panel zinashusha DC na battery pia huwa charged na DC ivo utahitaji inverter as if una loads za AC
 
Back
Top Bottom