Search results

  1. Zawadi B Lupelo

    Ni sikio la kufa? Mama anaitupa kadi yake muhimu ya kukubalika kwake

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] daah
  2. Zawadi B Lupelo

    Ni sikio la kufa? Mama anaitupa kadi yake muhimu ya kukubalika kwake

    Kamata kamata na kesi za uchochezi zilikuwa nyingi sana
  3. Zawadi B Lupelo

    Ni sikio la kufa? Mama anaitupa kadi yake muhimu ya kukubalika kwake

    Salamu mbele! Walio wengi huku mtaani wanaona hafai kuvaa si tu viatu bali hata soksi za mwendazake, sifa pekee inayomtofautisha na mtangulizi wake ni hii Sifa ya demokrasia na utawala bora. Hivi karibuni ameonekana anaitupa hata hii karata muhimu inayomtofautisha na mtangulizi wake ambayo...
  4. Zawadi B Lupelo

    Sakata la Bandari: Je koti la Muungano linabana?

    Katika mazingira kama haya ndipo unapoona namna muundo wetu wa Muungano wa serikali mbili ulivyo mbovu na mbaya. Mazingira ambayo tuna Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka Zanzibar na waziri wa uchukuzi Prof Mbarawa kutoka Zanzibar pia halafu wanaingia mikataba kuhusu bandari ya...
  5. Zawadi B Lupelo

    Tundu Lissu: Mkataba wa bandari ni suala nyeti sana

    Makamu mwenyekiti wa Chadema Tundu Antipas Lissu amesema mkataba wa kuwakabidhi bandari baina ya Tanzania na Dubai ni swala nyeti (very seriously) ndiyo maana limepelekwa bungeni. Akiongea club house amesema kitendo cha mkataba huo kupelekwa bungeni kinaashiria unyeti wake na athari ya mkataba...
  6. Zawadi B Lupelo

    Oscar Oscar atua rasmi Wasafi FM

    Katika kipindi kipya cha Jana na leo yupo Oscar, baba levo, edo kumwembe na Adela tilya
  7. Zawadi B Lupelo

    Oscar Oscar atua rasmi Wasafi FM

    Mgahawa kimeondolewa
  8. Zawadi B Lupelo

    Oscar Oscar atua rasmi Wasafi FM

    Aliyekuwa Mtangazaji wa EFM Oscar Oscar AKA mzee wa Kaliua ametambulishwa rasmi Wasafi FM ambapo sasa atakuwa na kipindi chake kitakachokuwa kinaitwa Jana na leo, kikiruka muda uliokuwa wa kipindi cha Mgahawa yaani siku za wiki kuanzia Saa 11 jioni hadi Saa 2 usiku
  9. Zawadi B Lupelo

    Hawavumi: Msanii Marioo ni kwa sababu hayupo WCB?

    Mrejesho, ameshavuma kumbe lilikuwa swala la muda tu
  10. Zawadi B Lupelo

    Feitoto yupo sawa kisheria

    [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  11. Zawadi B Lupelo

    Feitoto yupo sawa kisheria

    Nimesikia mwanasheria na uongozi wa Yanga wanasema Feitoto hajafuata utaratibu uliopo kwenye kanuni za FIFA za kuvunja mkataba ambapo mchezaji ili avunje mkataba lazima kuwe na just cause (reasonable cause). Kitu ambacho tunatakiwa tujue ni kwamba kanuni za FIFA siyo alfa na Omega bali zinatoa...
  12. Zawadi B Lupelo

    Hawavumi: Msanii Marioo ni kwa sababu hayupo WCB?

    Atakuwa kashapata mganga?
  13. Zawadi B Lupelo

    Kwanini tunafikiri tunastahili haki miliki Royal tour film?

    Ni nini kinafanya watanzania wafikirie kwamba tunastahili haki miliki Royal tour film? Je ni kutoa mshiriki (mama Samia)? Je ni kutoa location (mbuga zetu)? Kwanini hatujiulizi; Ni nani mwenye idea na producer wa hiyo film? Ni nani aliyetoa fungu la fedha la kugharamia hiyo film?
  14. Zawadi B Lupelo

    RIWAYA: PENZI HARAMU

    SEHEMU YA PILI Gari ya polisi iliwashwa kuelekea kituoni. Amani alionekana mtu aliyejawa na hamaki, hisia za kufedheheka zimemjaa . Mawazo yakiwa yamemtanda akamwangalia Hashimu Kwa jicho la hasira na kisirani. "Siamini kama Hashimu ungeweza kunifanyia hivi" aliongea Amani Kwa sauti ya...
  15. Zawadi B Lupelo

    Paul Makonda: Kuna makundi matano yanataka kuniua, likiwemo wanaotafuta kulipa kisasi kwa Wasaidizi wa Magufuli

    Hehehe dooh pole sana ndugu yangu Bashite, Dunia Haina huruma alipaswa kuwa makini toka mwanzo. Maamuzi yako ni matokeo ya kesho. MaRC wastaafu wenzake mbona hawalalamiki?
  16. Zawadi B Lupelo

    Innocent/Bonafide purchaser remedy

    Who is the innocent/bonafide purchaser in Tanzania? The buyer is an innocent or bonafide purchaser in Tanzania if he had no actual notice, constructive and imputed notice when buying the suit landed property. The remedy of innocent purchaser is to be declared to be rightful owner of the landed...
  17. Zawadi B Lupelo

    Ipi haki ya Mpangaji kwenye nyumba za kupanga?

    Weka vizuri hizo tarehe zako. Pili rudi kwenye mkataba wenu unasemaje kuhusu termination (usitishwaji wa mkataba). Mwenye nyumba anatakiwa akupatie notice ya muda gani? Kama mkataba wenu upo kimya au ni wale wa makubaliano ya mdomo basi notisi ya mwezi mmoja uliyopewa inatosha kabisa. Labda...
  18. Zawadi B Lupelo

    Naomba msaada kama kuna sheria ya kunisaidia katika hili

    Msimamizi wa Mirathi aliyeteuliwa na mahakama kwenye hizo mali ni nani? Kiufupi mnatakiwa mgawane mali zote mapema iwezekanavyo na ndivyo sheria inavyotaka. Msimamizi wa Mirathi akishateuliwa na mahakama anapewa miezi minne au sita tu ya kugawa mali za marehemu na kufunga jalada la Mirathi...
  19. Zawadi B Lupelo

    Ismail Jussa; Sikubaliani na hoja kwamba mchakato wa katiba uanze baada ya 2025

    Kada machachari wa chama cha ACT Wazalendo, Ismail Jussa amesema kwamba hakubaliani na hoja kwamba mchakato wa katiba mpya uanze mwaka 2025 baada ya uchaguzi. Ismail Jussa ametoa msimamo huo kupitia akaunti yake ya Twitter. Kauli hii ya Jussa inakuja kipindi ambacho chama chake kimeshaweka wazi...
Back
Top Bottom