Wilfred Ramadhan
JF-Expert Member
- Apr 7, 2022
- 502
- 900
Samahani jamani nahitaji msaada kidogo juu ya hili.
Tareh 15.08.2022 niliingia katika mkataba wa nyumba ya kupanga ambapo nililipa kodi ya miezi sita na fedha za udalali baada ya hapo ikapita kama miezi mitano nyumba ikaanza migogoro baina ya mmiliki alienipangisha na aliesemekana ni mmiliki mpya maana nyumba ilikua ya urithi na marehemu alikua anadaiwa kwa ninavyosikia basi tangazo likawekwa na wamiliku wapya hao kwamba mmiliki kapatikana na ni baada ya minada kadha wa kadha tukapewa siku 30 za kuhama pale na mwenye nyumba wetu alikua haji kwa mda uo basi wale wapya wakatupa mda kwamba tkae hadi tarehe 30/5/2022 leo mwenye nyumba yule wa zamani anakuja anatuambia tutoke tarehe 15 ipo sahihi ?