Search results

  1. Abuu Said

    Hapa napigwa au?

    GT, kuna massage nimetumiwa WhatsApp kwamba unaweza fanya kazi online na kupata elf 50 kwa siku jamaa akanipa link nikaicopy na kuingia humo ni video za tiktok. Sasa kilichonichanganya wanataka kwanza niwaingizie 5000 halafu naweza pata 10,000/= kwa 5 - 10min angalia screen short [emoji1484]
  2. Abuu Said

    Naombeni mnijuze kuhusu TALA FOUNDATION kabla sijajilipua

    Habari za jioni unaesoma thread hii, kuna mtu alini invite Tala foundation nikakubali na kuangalia kuhusu wao na nikaona kwamba wanatoa mikopo ya chapchap.... Basi nikajaribu kuwasiliana nao kwa njia ya WhatsApp na kunipa utaratibu na nikatimiza taratibu zote na mimi nikataka mkopo wa ml 1...
  3. Abuu Said

    Nishaurini: Nataka ninunue iphone S6

    Wataalam wa Technology habari zenu, Bajeti yangu ndogo ila natamani nimiliki Iphone katika pita pita zangu nimekutana na Iphone S6 ambayo inaendana na Bajet yangu ila wasiwasi wangu ni kwamba nasikia ifikapo mwakani itakua expired kwamba baadhi ya app km WhatsApp na nyinginezo zitakua hazifanyi...
  4. Abuu Said

    Hayati Dkt. Magufuli ndio mkombozi wangu

    Habari wana Jamii Forum great thinkers wenza ngumu Leo naomba nikiri kwamba aliyekua Rais wa awamu ya 5 Dr. John Pombe Magufuli ndie mkombozi wangu ktk mahangaiko ya Kimaisha. Nimeiona watu wengi humu JF na kule Twitter wakimdhihaki mpendwa wetu yule km vile hakuna mema aliyoyafanya. Ngoja...
  5. Abuu Said

    Naweza tumia Bytes ngapi kuangalia muvi ya masaa mawili YouTube?

    Wadau habarini.... Kutokana na mambo kurahisishwa sasa hivi kwamba unaweza check movie online sio km zamani uanze kutafuta maCD, DVD au download. Nimependezewa na kuangalia movie online ila sasa huwa naogopa kuangalia movie ndefu nikihofia MB zangu kukata kwenye utamu . Sasa wadau naomba...
  6. Abuu Said

    Ungekuwa wewe ungechukua maamuzi gani?

    Angekuwa hujamuoa ungesema tungeachana lakini sasa ni mkeo
  7. Abuu Said

    Naweza pata spika ndogo zinazotumia Bluetooth kwa ajili ya laptop iliyokufa mfumo wa sauti?

    Habarini wakuu wa jukwaa hili lenye wataalamu wa kila aina ya mashine..... Ni hivi Laptop yangu aina ya HP compact imekufa mfumo wa sauti kwamba spika zake haziongei na hata ukitumia sehemu ya earphone nayo haifanyi kazi (imekufa) sasa wadau ili kuepuka kuifungua kwa kitu kidogo km hicho nataka...
  8. Abuu Said

    Ndoa, kwanini ndoa...kwanini wapendanao wasingekuwa wanaishi tu wao wenyewe baada ya kukubaliana?

    Habari zenyu mabibi na mabwana.... Hapo zamani za kale aliumbwa Adam inasemekana ndio kiumbe wa kwanza then Muumba akaona huyu jamaa yupo mpweke tumfanyie mwanamke hapo akapatikana bi Hawa....... Inasemekana ya kwamba Adam alipomuona hawa matamanio yakamshika akataka kumvamia bi Hawa Muumba...
  9. Abuu Said

    Tukifunga ndoa ya kiislamu bila kuwajulisha wazazi wa binti itakuwa halali au tutakuwa tunazini tu?

    Habari wanaMMU.., Kuna msichana tupo katika dating sasa tumefikia makubaliano ya kufunga ndoa tujenge familia ya watoto kadhaa changamoto iliyokuwepo ni huyu mwenzangu anataka tuishi tu hivihivi kwanza halafu baadae ndio anipeleke kwao kunitambulisha. Huyu msichana tumekutana tu mjini katika...
  10. Abuu Said

    Je, Binadamu tulikuja duniani kimakosa au ni mipango ya Mungu?

    Habarini wana Intelligence .... ...hili jambo linanichanganya sana juu ya uwepo wetu Duniani.... Nikiangalia vitabu vya Dini zote vinatuambia kwamba, lengo la kuumbwa kwetu Mungu alitaka kiumbe kitakachoweza kuitawala Dunia na vilivyomo ndani yake. Sasa hapohapo vitabu vya Dini vinatuambia...
  11. Abuu Said

    UMEGUNDUA NINI HAPA

    malcolm Lumumba, Wick mgambilwa 'HOW MUCH IS TOO MUCH?'
  12. Abuu Said

    Mtazamo: Kwanini Ufaransa atachukua ubingwa

    Habarini wanajf, karibuni tujadili hili kwa kina ikizingatiwa tupo katika wakati wa Kombe la Dunia. Kwa mtazamo wangu Ufaransa ndio timu itakayochukua Ubingwa na sababu kubwa ni kikosi walichokiandaa kilichosheheni wachezaji wenye uzoefu wakicheza ligi mbalimbali Duniani, pia Kocha Deschamps...
  13. Abuu Said

    Nimelimiss sana gazeti la raia mwema

    Raia Mwema ni gazeti la uchambuzi wa kisiasa na wakijamii lina wachambuzi waliobobea kama Mbwambo, Generali Ulimwengu, Majid Mjengwa, Chahali wa uskoch, Hemed yule mzanzibar, Ezekiel Kamwaga, Mihangwa, Zitto mara mojamoja nae hua anaandika Makala na wengine wengi. Nilianza kulifuatilia Gazeti...
  14. Abuu Said

    Hii ni kwa mdau wa maendeleo tu, karibu tushikiane

    Habari za weekend wanaJF, mimi ni kijana mwenye nia ya kujiajiri na kufikia malengo ya kuwa na project kubwa hapa nchini. Nimefanikiwa kupata Stashahada ya uhandisi mitambo Taasisi ya teknologia Dar es salaam DIT mwaka 2014 baada ya hapo nikafaya kazi katika Kampuni mbalimbali kwa kujitolea ili...
  15. Abuu Said

    Microsoft yaachana na utengenezaji wa simu za Windows

    Kwa mara ya kwanza kampuni ya Microsoft imesema hadharani kwamba rasmi sasa hawatatengeneza wala kuendeleza tena mfumo wa Windows kwa simu janja (windows Phone OS). Taarifa rasmi kupitia mtandao wa Twitter imeelezwa kuwa haina mpango wala matumaini yoyote ya kuongeza matoleo mapya kwa simu zenye...
  16. Abuu Said

    #tweetLikePolepole

    Hebu na wewe mwana jf weka na ya kwako[emoji28] [emoji28]
  17. Abuu Said

    Ushauri Mzuri

    Unadhani nani anafaa apewe ushauri huu hapa kwetu?
  18. Abuu Said

    Rais wa watu

  19. Abuu Said

    Twitter snapshot: Jinsi Trump anavyoshambuliwa

    Kumbe sio huku tu kwetu huko USA Rais Donald Trump anashambuliwa sana mitandaoni
Back
Top Bottom