Abuu Said
JF-Expert Member
- Jul 5, 2015
- 4,009
- 4,776
Raia Mwema ni gazeti la uchambuzi wa kisiasa na wakijamii lina wachambuzi waliobobea kama Mbwambo, Generali Ulimwengu, Majid Mjengwa, Chahali wa uskoch, Hemed yule mzanzibar, Ezekiel Kamwaga, Mihangwa, Zitto mara mojamoja nae hua anaandika Makala na wengine wengi.
Nilianza kulifuatilia Gazeti hili tangu 2009 wakati nipo O level toka kipindi Logo yao ina rangi nyekundu na weupe,
nilitokea kulipenda sana hili Gazeti kwani nilikua najifunza mengi yanayolihusu taifa langu na Dunia kwa ujumla kama sasa hivi Nchi ilipofikia ningejifunza mengi sana kwani kule kuna Wazee wanaojua kutafakari na kutoa hoja kwanini hili limekua hivi kama haya mambo ya kuhama vyama na matukio mengine hot yaliyopo sasa.
Hivi Mwenekiti Ulimwengu hakufungua Kesi kulirudisha Gazeti uraiani?
Tumelimss sana aisee,
Mungu ajaalie Kifungo kiishe lirudi tena Mtaani nadhani kutakua na Makala za kushiba kutoka kwa Wahariri.