![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Hebu na wewe mwana jf weka na ya kwako![]()
![]()
ati malaria......mbu wote wame nini......kitu gani kipya......nanhii imefanyaje upya

hauzifahamu tweet za polepole pumbapumba tu zisizo na mantikiHata sielewi elewi
Sielewi imekuaje mpaka watu wakaanzisha hiyo Hashtag ya tweet like polepole mkuuhauzifahamu tweet za polepole pumbapumba tu zisizo na mantiki
Sielewi imekuaje mpaka watu wakaanzisha hiyo Hashtag ya tweet like polepole mkuu
anhaa hapo sawa nimekupataNahisi Mabala au Lubasha ndio walianzisha hii Hashtag ikiwa na lengo la kuonyesha jinsi gani Polepole ana tweet vitu vya ajabu alafu kila jambo lazima aseme kua CCM mpya na Tanzania mpya.
Hata sielewi elewi
imebidi niende twitter kucheki...hahaha watu nomaWANAMSIHAKI, YANI TWEET ZAKE NDO ZA KIHIVYO
ni kweli kabisaTwitter nako kuna raha yake kule kuna magreat thinker wenye maneno machache yenye maana kubwa