Naweza tumia Bytes ngapi kuangalia muvi ya masaa mawili YouTube?

Abuu Said

JF-Expert Member
Jul 5, 2015
4,010
4,750
Wadau habarini....

Kutokana na mambo kurahisishwa sasa hivi kwamba unaweza check movie online sio km zamani uanze kutafuta maCD, DVD au download.

Nimependezewa na kuangalia movie online ila sasa huwa naogopa kuangalia movie ndefu nikihofia MB zangu kukata kwenye utamu .

Sasa wadau naomba kujuzwa muvi ya masaa mawili inaweza maliza 1gb, au nipeni njia ya Ku calculate kwamba hizi MB nilizonazo naweza angalia movie hadi mwisho.

NATANGULIZA SHUKRANI KWENU
 
aisee, una mb za mawazo alafu unataka ustream vitu vitam live, kama ni youtube, kuna quality ya video 240,360,480,720,1080,etc kutegemea na spidi ya neti yako, kama neti ya kobe unapata 240 au 360, kama ni kasi unapata 720 mpaka 1080, mpaka 4k uko kama ni kasi zaidi

sasa movie ya masaa 2 uka stream @1080p, iyo gb moko yako bora uingie insta tu
 
Wadau habarini....

Kutokana na mambo kurahisishwa sasa hivi kwamba unaweza check movie online sio km zamani uanze kutafuta maCD, DVD au download.

Nimependezewa na kuangalia movie online ila sasa huwa naogopa kuangalia movie ndefu nikihofia MB zangu kukata kwenye utamu .

Sasa wadau naomba kujuzwa muvi ya masaa mawili inaweza maliza 1gb, au nipeni njia ya Ku calculate kwamba hizi MB nilizonazo naweza angalia movie hadi mwisho.

NATANGULIZA SHUKRANI KWENU
main-qimg-0dc5a45f209ffad492bc38755cead216-c.jpeg

Chagua quality unayopenda kutumia kisha kokotoa utapata jibu
 
Kwa hiyo kumbe naweza tizama muvi ya lisaa limoja kwa kutumia 2GB in 114p
114p hata ukiwa unaangalia pamoja na mtoto wa chekechea atasepa na kukuacha peke yako.
Mimi naweza kutulia kuangalia movie ya 480P chini ya hapo mzuka hakuna
 
Back
Top Bottom