Search results

  1. A

    What You Must Always Do in a Marriage Discussion

    According to the book 'Heart to Heart' by Nancy Van Pelt, the following are the most important things you must do in your marriage discussion. 1. Do your best to reach an agreement before ending the discussion. Do not leave in the heat of the argument. 2. Speak in a normal tone of voice...
  2. A

    Tuwafanyaje Hawa?

    Kusema kweli jambo hili linaniuma sana na linanikera hasa! Mtaani kwangu pengine hata mtaani kwako pia kuna watu tena watu wenye heshima zao pamoja na kujijua wazi kwamba wanaishi na HIV/VVU bado wanafanya ngono hovyo tena kwa makusudi huku wakijua kufanya hivyo kunachangia kusambaza vijidudu...
  3. A

    Clinic ya Mapenzi

    Hello Great Thinkers, I hope you are all happy and healthy. Bila shaka kila mmoja wetu anafahamu wazi kwamba mapenzi ni moja kati ya mambo kadha wa kadha ambayo japo ni mazuri lakini yanatesa watu wengi duniani kote. Watu wengi wamejeruhiwa hata kufa kwa sababu ya mapenzi. Lakini wapo wengine...
  4. A

    Clinic ya Mapenzi

    Hello Great Thinkers, I hope you are all happy and healthy. Bila shaka kila mmoja wetu anafahamu wazi kwamba mapenzi ni moja kati ya mambo kadha wa kadha ambayo japo ni mazuri lakini yanatesa watu wengi duniani kote. Watu wengi wamejeruhiwa hata kufa kwa sababu ya mapenzi. Lakini wapo wengine...
  5. A

    'Usisome Hapa'

    Linapokuja suala la kujihusisha na mapenzi katika umri mdogo (ama hata mambo mengine yenye matokeo hasi kwa watoto) wazazi wengi huwa hawawi wazi kwa watoto wao kiasi cha kutosha kuwaonesha wazi wazi madhara ya kujihusisha na ngono katika umri mdogo. Wanasema tu, 'usifanye hivi, usifanye vile'...
  6. A

    Kwa Unayeutaka Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Hello great thinkers. Natumaini mpo poa. Kama wewe ni mmoja wa wanaotarajia kuwania kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania basi topic hii inakuhusu kwa namna moja ama nyingine. Yapo mambo mengi ambayo binafsi ningependa kuyaongelea lakini hapa nitasema machache kama angalizo tu...
  7. A

    Polisi, Jamii na Kilichotokea Arusha

    Mara nyingi wananchi wa Tanzania wamekuwa na hofu kila wanapomuona polisi. Tumekuwa tukishawishiwa kwamba polisi ni rafiki wa raia na kwamba hatuna haja ya kuwaogopa bali kushirikiana nao katika vita dhidi ya uhalifu na uvunjifu wa amani. Tukio la hivi karibuni huko Arusha limesikitisha wengi na...
  8. A

    Dada wa Damu!

    Habari wanajamii 'Great Thinkers' Hivi majuzi rafiki yangu aliniuliza swali ambalo binafsi nilishindwa kujibu. Najua siwezi kukosa jibu hapa. Rafiki yangu huyu anasema amekuwa akiota ana 'do' na dada zake wa damu mara kwa mara. Hajawahi kuwaza wala ku'do' nao. Hii maana yake nini wapendwa...
  9. A

    Naomba kueleweshwa! Ukweli ni upi?

    Tafadhali sana wapendwa ningependa kama kuna mwenye kuujua ukweli wa nitakachoandika hapa anisaidie nipate kuujua. Habari ni kwamba, nimepata kusikia mara kadhaa kwamba unaweza kujua size ya nyeti (uume/uke) wa mtu kwa kumuangalia tu umbo la mwili wake. Kwa mfano mwanaume mrefu anategemewa kuwa...
  10. A

    Naomba kueleweshwa! Ukweli ni upi?

    Tafadhali sana wapendwa ningependa kama kuna mwenye kuujua ukweli wa nitakachoandika hapa anisaidie nipate kuujua. Habari ni kwamba, nimepata kusikia mara kadhaa kwamba unaweza kujua size ya nyeti (uume/uke) wa mtu kwa kumuangalia tu umbo la mwili wake. Kwa mfano mwanaume mrefu anategemewa kuwa...
  11. A

    Non profit organization establishment: Information needed.

    Habari wapendwa. Nimehitimu chuo kikuu mwaka wa masomo uliopita katika chuo kikuu fulani hapa Tanzania. Bado sijaajiliwa lakini natamani sana kujiajili kama social enterpreneur kwa kuanzisha non profit organization ili kutatua matatizo mbalimbali ya kijamii yanayotuzunguka katika Tanzania...
  12. A

    Na mimi natafuta mchuchu!

    Jamani na mimi nimechoka upweke natafuta mchumba wa kuoana naye baada ya kila mmoja wetu kuridhika na mwenzie. Jinsia ya ninae mtafuta; female. Umri; 18 - 24. Rangi; yoyote kati ya mweupe/mweusi/maji ya kunde. Elimu; angalau form four. Elimu yangu chuo kikuu. Imani; mkristo. If you are...
  13. A

    Elections 2010 Mh. Dr. Slaa, CHADEMA sasa kumekucha!

    Tarehe 31 October 2010 ilikuwa ni siku ya muhimu na ya kipekee kwa Tanzania na nchi washiriki. Ni siku ambayo watanzania tuliisubili kwa muda mrefu na hatimaye ikafika na sasa imepita. Ni siku ambayo watanzania tuliowachache (tunaoujua wajibu wetu kwa nchi) tulijitokeza kupiga kura kufanya...
  14. A

    Elections 2010 Unajua kwamba Dr Slaa ameongoza kwa kura nyingi Iringa?

    Unapomsikia mpendwa wetu mheshimiwa Dr Slaa akilalamika juu ya wizi (uchakachuaji) wa kura ambao CCM imefanya dhidi ya chama chetu kitukufu unaweza ukadhani ni mtu anayetapatapa baada ya kufanya vibaya katika uchaguzi mkuu wa Tanzania 2010. Kusema ukweli hali haiko hivyo na juha pekee yake...
  15. A

    Elections 2010 Hili lisifumbiwe macho!!!

    Suala la uchakachuaji wa matokeo ambalo limeanza kujitokeza shinyanga lisifumbiwe macho hata kidogo. Siamini kama huyo mmoja aliyekamatwa ndiye mchakachuaji pekee katika Tanzania nzima yenye majimbo ya uchaguzi zaidi ya 200. Iwapo CCM itashinda kwa njia hii, ushindi huo utakuwa batili na hatua...
  16. A

    Kituko cha karne!

    Kuna baadhi ya watanzania hii leo wamepokea simu inayodaiwa kutoka kwa mh. Kikwete akiomba apigiwe kura itakayomrudisha madarakani kwa kipindi cha pili. Nashukuru Mungu sikupigiwa simu hiyo. Jambo la kuchekesha na kusikitisha ni pale anaposema atajirekebisha katika makosa yote aliyofanya katika...
  17. A

    Mapinduzi ya Kweli Tanzania, Tamani kuwa sehemu ya Mapinduzi hayo!

    Ndugu wa'Tanzania', Tunakaribia kuhitimisha kampeni za uchaguzi mkuu Tanzania (2010) kwa kupiga kura hapo J2 zitakazoamua nani kuwa rais wa Tanzania. Kupitia uchaguzi huu, watanzania pia watapata fursa ya kuchagua wabunge na madiwani watakao wawakilisha katika majimbo yao. Nina imani kubwa kuwa...
  18. A

    Kwa Mara ya Kwanza Nashawishika Kupiga Kura!

    Ndugu zangu wa'Tanzania' kama ndoto vile tarehe ya kupiga kura kuchagua viongozi wetu inazidi kusogea. Tumebakisha masaa kadhaa tu kabla hatujafanya maamuzi muhimu sana ya kuchagua viongozi wetu watakaotuongoza kwa kipindi cha miaka mitano. Huu ni muda mrefu hivyo yatupasa kuwa makini sana...
Back
Top Bottom