Clinic ya Mapenzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Clinic ya Mapenzi

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Abraham Lincon, Jan 17, 2011.

 1. A

  Abraham Lincon Member

  #1
  Jan 17, 2011
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 78
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hello Great Thinkers, I hope you are all happy and healthy. Bila shaka kila mmoja wetu anafahamu wazi kwamba mapenzi ni moja kati ya mambo kadha wa kadha ambayo japo ni mazuri lakini yanatesa watu wengi duniani kote. Watu wengi wamejeruhiwa hata kufa kwa sababu ya mapenzi. Lakini wapo wengine ambao wana furaha kubwa maishani mwao sababu ya mapenzi hayo hayo. Natamani sana kama tutabadilishana mawazo mawili matatu kuhusu mambo yanayochangia kuleta mateso/maumivu na/au furaha katika mapenzi na labda tuelezane nini kifanyike kuboresha mapenzi miongoni mwetu na wapenzi wetu. Hii ni clinic ya mapenzi hivyo naomba tusaidiane kuwatibu na kuwarudishia tumaini waliojeruhiwa na mapenzi. Kwa kifupi, elezea ni mambo gani yakifanywa na wapenzi huwa chanzo cha migogoro katika mapenzi na yapi hudumisha mapenzi? Natumaini tumeelewana.
   
 2. Desidii

  Desidii JF-Expert Member

  #2
  Jan 17, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 1,212
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Tabia ndo issue kubwa hapa
   
Loading...