Naomba kueleweshwa! Ukweli ni upi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba kueleweshwa! Ukweli ni upi?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Abraham Lincon, Jan 5, 2011.

 1. A

  Abraham Lincon Member

  #1
  Jan 5, 2011
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 78
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tafadhali sana wapendwa ningependa kama kuna mwenye kuujua ukweli wa nitakachoandika hapa anisaidie nipate kuujua. Habari ni kwamba, nimepata kusikia mara kadhaa kwamba unaweza kujua size ya nyeti (uume/uke) wa mtu kwa kumuangalia tu umbo la mwili wake. Kwa mfano mwanaume mrefu anategemewa kuwa na uume mrefu na mwanaume mfupi uume mfupi. Sina tatizo sana kuamini hili kwani angalau kuna logic hapa. Japokuwa bila shaka lazima kwa sababu kadha wa kadha wapo warefu wenye fupi na wafupi wenye ndefu. Tatizo langu kubwa ni kwa wanawake. Nasikia mwanammke mnene huwa na uke mdogo eti kwa sababu ya nyamanyama zake ambazo eti zinapunguza ukubwa wa k. Kwa upande mwingine mwanamke mwembamba eti huwa na k kubwa! Jamani naomba tusaidiane katika hili. Ukweli ni upi?
   
 2. Nanren

  Nanren JF-Expert Member

  #2
  Jan 5, 2011
  Joined: May 11, 2009
  Messages: 1,738
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Myth, myth and myth
   
 3. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #3
  Jan 5, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  natumai watu watakuwa honesty hapa.........uweze jua ukweli.Ila sasa kama mimi mwanamke,ukubwa na uonaje na unatumia kipimo gani kujua hii ni kubwa hii ni ndogo?kwakuwa kama mwanamume ana kibamia ataona ya mwanamke wa saizi ya kawaida kubwa na kama mimi nina k... ndogo ntaona hata kibamia ni saizi ya kawaida au kubwa...........its hard to know but wataalamu wa mambo mengi hapa watatuambia.......
   
 4. s.fm

  s.fm JF-Expert Member

  #4
  Jan 5, 2011
  Joined: Jul 8, 2009
  Messages: 669
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Ili kujua kwa upande wa k angalia mdomo wake na hiyo ndo saiz yenyewe na kwa urefu bado naendelea kufanya utafiti nitarudi baadae! Kwa upande wa mnene na mwembamba yawezakua kweli ila kuwa makini tofautisha kati ya mnene na mwenye mat*ko makubwa..
   
 5. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #5
  Jan 5, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Mi kwa ya kwangu nikiangalia hata kibamia ni kikubwa kuingia na mi ni mwembamba sa sijui kama kuna ukweli hapo............kwenye mnene na mwembamba..............ngoja nikaangalie tena nikirudi ntakujibu tena.....sweetdreams.
   
 6. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #6
  Jan 5, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  mmmmhhh wewe aliyekwambia hayo kakudanganya..
  huwezi jua maneno yaliyondani ya barua mpka uisome..

  usema ukweli hata mie nimesikia maneno mengi kama hayo
  mfano nnumber ya kiatu ya mwanaume na mambo kama hayo..
  lakini mmmhhhhh asikudanganye mtu..

  kwa wanawake ukubwa wa hiyo Jupiter
  inategemea tumewaachia wana sayansi wangapi
  wameingia kufanya experience zao..

  kwa hiyo huwezi jua kwa kumwangalia mtu tu...

  AD
   
 7. Maalim Jumar

  Maalim Jumar JF-Expert Member

  #7
  Jan 5, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,443
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Size ya k big up!
  na urefu wa tundu masikio.
   
 8. 22nd

  22nd JF-Expert Member

  #8
  Jan 5, 2011
  Joined: Aug 1, 2010
  Messages: 498
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  ukubwa au udogo wa k inategemea na size ya uume na ukubwa au udogo wa uume unategemea size ya k,kwahiyo hamna mwenye k kubwa au ndogo au uume mkubwa au mdogo. nani anabisha?
  kama wewe mwanaume umeingia sehemu ukapwaya usijione kwamba una uume mdogo au mwanamke ana k kubwa, endelea kufanya experiment mpaka utapata utakapo fit.
  ila kuna wale wanawake wana k zinazo fit kote mfano ni wangu my old relationship siku ya kwanza kumuona hakiyamungu nilikuwa najiandaa kukimbia,uume unalingana na mkono wangu nikajua ndio mwisho wa uhai wangu,lakini nikaja kuizoea.
  baada ya kuachana nae nikakutana na asali wa moyo wangu, siku ya kwanza kuonana nae nilitamani kucheka,utadhani bamia changa,ila cha ajabu ika fit na inanikoleza kuliko ile kubwa.
  kwahiyo hamna cha kuangalia uso wa nini,hizo ni story za vijiweni tu
   
Loading...