Mapinduzi ya Kweli Tanzania, Tamani kuwa sehemu ya Mapinduzi hayo! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mapinduzi ya Kweli Tanzania, Tamani kuwa sehemu ya Mapinduzi hayo!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Abraham Lincon, Oct 30, 2010.

 1. A

  Abraham Lincon Member

  #1
  Oct 30, 2010
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 78
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu wa'Tanzania', Tunakaribia kuhitimisha kampeni za uchaguzi mkuu Tanzania (2010) kwa kupiga kura hapo J2 zitakazoamua nani kuwa rais wa Tanzania. Kupitia uchaguzi huu, watanzania pia watapata fursa ya kuchagua wabunge na madiwani watakao wawakilisha katika majimbo yao. Nina imani kubwa kuwa huu ndiyo wakati muafaka kwa wa'Tanzania' kufanya mapinduzi makubwa ya kihostoria tuliyoyatamani kwa miaka mingi. Kila ninapofikiria juu ya hili, hakika natamani sana kuwa sehemu ya mapinduzi hayo kwa kupiga kura yangu hapo J2. Vipi mwenzengu, wewe hutamani? Nenda kapige kura J2! Mchague Dr. Slaa tulete mapinduzi ya kweli Tanzania. Dr. Slaa anastahili kuwa rais wetu. Wakatae mafisadi wanaotukosesha huduma muhimu za kijamii kama vile afya, elimu nk. Tanzania bila mafisadi inawezekana if and only if you play your part. Mungu ibariki Tanzania, Mungu bariki uchaguzi mkuu Tanzania.
   
Loading...