Elections 2010 Hili lisifumbiwe macho!!!

Oct 22, 2010
78
0
Suala la uchakachuaji wa matokeo ambalo limeanza kujitokeza shinyanga lisifumbiwe macho hata kidogo. Siamini kama huyo mmoja aliyekamatwa ndiye mchakachuaji pekee katika Tanzania nzima yenye majimbo ya uchaguzi zaidi ya 200. Iwapo CCM itashinda kwa njia hii, ushindi huo utakuwa batili na hatua za kisheria yapasa zichukuliwe dhidi yao! Tumechoka kuburuzwa na sasa umefika wakati yatubidi tuchukue hatua. Mungu ibariki Tanzania, Mungu bariki uchaguzi mkuu Tanzania.
 
Nakubaliana nawe kabisa. Kumbe ndio maana walituambia wapiga kura ni mil 19. Walizidisha wanachama wa CCm mara tatu. Haki lazima itendeke mwaka huu
 
Back
Top Bottom