Kwa Mara ya Kwanza Nashawishika Kupiga Kura! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa Mara ya Kwanza Nashawishika Kupiga Kura!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Abraham Lincon, Oct 30, 2010.

 1. A

  Abraham Lincon Member

  #1
  Oct 30, 2010
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 78
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu zangu wa'Tanzania' kama ndoto vile tarehe ya kupiga kura kuchagua viongozi wetu inazidi kusogea. Tumebakisha masaa kadhaa tu kabla hatujafanya maamuzi muhimu sana ya kuchagua viongozi wetu watakaotuongoza kwa kipindi cha miaka mitano. Huu ni muda mrefu hivyo yatupasa kuwa makini sana kumchagua yule tunayedhani atafaa na anaweza kutuongoza. Binafsi hii itakuwa mara yangu ya kwanza kupiga kura! Sikuwahi kupiga kura kabla si kwa sababu sikuwa na sifa la, kwa bahati mbaya sikumuona mwenye sifa. Leo hii Dr. Slaa ananipa sababu ya kupiga kura. Nina hamu na shauku kubwa ya kumchagua kiongozi wangu atakayeniwakilisha katika masuala muhimu ya kitaifa na kimataifa. Nimesikia sera za baadhi ya wagombea na ninadhani nipo tayari sasa kufanya maamuzi sahihi. Ni matumaini yangu kwamba hata wewe upotayari na kwamba utapiga kura yako hapo kesho. Wahenga walisema, HAKUNA HAKI BILA WAJIBU. Jitokeze, kapige kura hapo J2. Namalizia kwa kusema, SAUTI YA WATU NI SAUTI YA MUNGU.
   
 2. M

  Msharika JF-Expert Member

  #2
  Oct 30, 2010
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 936
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Umenena
   
 3. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #3
  Oct 30, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Usengwili bwana Abraham Lincoln, Yaani kwa kiswahili ahsante sana
   
Loading...