Clinic ya Mapenzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Clinic ya Mapenzi

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Abraham Lincon, Jan 17, 2011.

 1. A

  Abraham Lincon Member

  #1
  Jan 17, 2011
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 78
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hello Great Thinkers, I hope you are all happy and healthy. Bila shaka kila mmoja wetu anafahamu wazi kwamba mapenzi ni moja kati ya mambo kadha wa kadha ambayo japo ni mazuri lakini yanatesa watu wengi duniani kote. Watu wengi wamejeruhiwa hata kufa kwa sababu ya mapenzi. Lakini wapo wengine ambao wana furaha kubwa maishani mwao sababu ya mapenzi hayo hayo. Natamani sana kama tutabadilishana mawazo mawili matatu kuhusu mambo yanayochangia kuleta mateso na si furaha katika mapenzi na labda tuelezane nini kifanyike kuboresha mapenzi miongoni mwetu na wapenzi wetu. Hii ni clinic ya mapenzi hivyo naomba tusaidiane kuwatibu waliojeruhiwa na mapenzi. Kwa kifupi, elezea ni mambo gani yakifanywa na wapenzi huwa chanzo cha migogoro katika mapenzi na yapi hudumisha mapenzi? Natumaini tumeelewana.
   
 2. Jaluo_Nyeupe

  Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member

  #2
  Jan 17, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 2,269
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Mkuu mbona umeamua kutuma post dabo dabo?
   
 3. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #3
  Jan 17, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  dah nashindwa kuchagaza cz sionj theme moja naona DHAMIRA NYIIIIING kwenye iki kitabu..
  nimeelimika kdg asubui i...asante kaka
  what z democracy?
  use lincolin,liberal n functionalism theory ....
   
 4. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #4
  Jan 17, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0

  The Following User Says Thank You to Rose1980 For This Useful Post:

  NewDawnTz (Today) ​  Rose Umenifanya nianze kuvuta hisia za ku-translate theory hizi kwenye relations..

  Hebu nijaribu functionalism theory ya education kwa ku-change maneno halisi ya kwenye theory ku-apply kwenye mahusiano..Ngoja nione...

  Functionalist THEORY....
  [FONT=&quot] focuses on the ways that love (in place of universal education) should serve the needs of the loved one (in place of society).

  It have to see LOVE (in place of education) in its manifest role: conveying basic understanding, respect and care (in place of knowledge and skills) to your LOVED ONE (in place of the next generation).

  The latent role of love is making one feel safe and cared into relations mainstream. This "moral love," help form a more-cohesive relation structure by bringing together couples' backgrounds...................

  Dah.....Rosa sasa nakubali kuwa zinaweza ku-apply....ukizitranslate katika mtazamo wa kimahusiano[/FONT]
   
Loading...