Search results

  1. Kabelwa

    Msaada wa namna ya Kuroot Tecno K7

    Naomba msaada kwa wale wataalamu wa kuroot simu nina simu aina ya Tecno k7 naitaji kuiroot naweza kutumia njia gani rahisi bila kurumia computer. Asanteni.
  2. Kabelwa

    Natumia laini ya ttcl ila kuanzia juzi haisomi kwenye data ninaomba msaada

    Habari ndugu mimi natumia laini ya ttcl ila kuanzia juzi haisomi kwenye data ninaomba msaada anaefahamu namna ya kuiwezesha ili iweze kusoma data nimejaribu kuwasiliana na ttcl na nimefuata maelekezo yao lakini bado inaonyesha kialama cha R ukiwasha data,asante.
  3. Kabelwa

    Msaada X App

    Habari, Mimi ni mtumiaji wa hii App ya X zamani twitter ila inapotokea inahitajika kuifanyia update inashindikana kwasababu simu yangu ni android version 7. Halafu ni tecno na sasa hivi hii App inahitaji simu yenye android version 8 na kuendelea na uwezo wa kununua simu nyingine sina sasa kwa...
  4. Kabelwa

    Msaada: Laini ya TTCL haisomi data

    Habari ndugu, Naomba msaada nina wiki mbili laini yangu ya ttcl haisomi data pamoja ya kuweka data roaming lakini bado ila kwa wengine inasoma tatizo ni nini! nikiwapigia huduma kwa wateja wananiambia niangalie kwenye setting na hiyo sett iko sawa sasa naomba msaada.
  5. Kabelwa

    Msaada, laini ya tigo haisomi data

    Habari ndugu, ninaomba msaada wa jambo hili,nime-renew namba yangu ya zantel ktk laini ya tigo kama invyofahamika makampuni haya ni mamoja ,tatizo linakuja kwenye data ni kwamba haisomi kabisa nimejaribu data setting za tigo na hata zantel hazionyeshi mtandao kama ni 2g,h+ au 4g ,naomba msaada...
  6. Kabelwa

    twitter na instagram

    ndugu kwa uzoefu wenu twitter na instagram mtandao upi uko vizuri kufuatilia mimi binafsi natumia zaidi hizi blogs kwahiyo nataka kuingia huko kwenye mitandao ya kijamii,asante.
  7. Kabelwa

    Msaada: Link nzuri za habari na matukio

    Wadau habari naomba kwa wale wazoefu wa telegram wanisaidie link nzuri za habari na matukio za ndani ya nchi hata za nje ya nchi na ya michezo hasa ligi ya hapa kwetu. Asanteni.
  8. Kabelwa

    Developer options

    habari ndugu zangu kwenye jukwaa hili, ninaomba mwenye kufahamu vitu muhimu vya kuseti kwenye developer options kwa simu inayotumia mfumo wa android na kazi yake,shukrani. Sent from my TECNO K7 using Gazeti Lite
  9. Kabelwa

    naomba kujuzwa kuhusu 1.1.1.1 faster vs safer internet app

    Habari wanajamii, ninaomba kufahamu kuhusu hii app ambayo inasaidia speed ya kufungua picha kwenye app mfano instagram lakini tatizo linakuja kuna wakati inafanya app nyingine zishindwe kufanyakazi mpaka uitoe au kuna kama kuna app nyingine zaidi ya hiyo naomba kufahamishwa. Sent from my TECNO...
  10. Kabelwa

    og istagram

    Wadau naombeni link ya og insta kwa wenye kuifahamu ambayo iko kwenye sasisho jipya (update) maana kila ninayopakua haifungui video, msaada. Sent from my TECNO K7 using Gazeti Lite
  11. Kabelwa

    Nawezaje kupunguza matumizi ya MB kwenye facebook

    Habari wanajamii nimetumia kwa muda mrefu hii application ya facebook lite sasa nimeona nijaribu kutumia hii nyingine facebook ingawa inachukua space kubwa. Sasa nimeshtushwa na ulaji wake wa bando maana linakwenda haraka mno ninaomba kama kuna anaefahamu namna ya kuseti ili isile bando sana...
  12. Kabelwa

    MiFi router zipi zenye kasi nzuri na gharama zake?

    Wadau wenye kufahamu hizi mifi router je! Ni zipi zenye speed nzuri kutumia ukiconnect na simu na bei zake na zinapatikana kwenye maduka yapi!
  13. Kabelwa

    Naomba kujuzwa haya kuhusu App ya J football TV

    Wadau kwa wale wanaotumia hii App j football tv naomba kujua kama channels zinazonekana kwenye hii app zinafunguka zote maana app yenyewe ni ya malipo kidogo tsh2000 kwa mwaka isiye ikawa ndio wapigaji.
  14. Kabelwa

    Naomba ushauri nichague simu ipi kati ya Tecno na Samsung katika duka la Tigo

    Wadau habari, Nataka kununua simu duka la tigo, sasa naomba ushauri kati ya tecno spark3 pro na samsung A10s maana zote naona sifa zinafanana. Nichukue ipi?
  15. Kabelwa

    Restrict app background data

    Wadau naomba kufahamu,kwenye setting za simu kuna hii kitu restrict app background data,je! ninatakiwa niweke on au off, naomba mwenye kufahamu aniweke sawa kwenye hili,asanteni.
  16. Kabelwa

    Channel ya Wasafi TV haionekani DStv

    Wadau hii channel ya Wasafi TV mbona haionekani kwasisi tunaotumia DStv now app, wakati king'amuzi kimeshalipiwa au wameshaitoa!
  17. Kabelwa

    Sports application

    Wadau, mwenye kujua app yeyote inayopatikana playstore nasiza apk yenye channel za bein sports naomba tafadhari.
  18. Kabelwa

    Jinsi ya kushare DStv kwenye simu

    Habari wadau, mwenye kufahamu namna ya kushare dish la DStv kwenda kwenye simu naomba maelekezo, asante.
  19. Kabelwa

    Naomba kujua kazi ya Android security patch level

    Habari wanajamii, Ninaomba kufahamu hii Android security patch inasaidia nini kwenye simu sababu kwenye simu yangu huwa inakuja system update ya hiyo kitu. Shukrani.
  20. Kabelwa

    Website za mpira

    Wadau habari, naomba wenye kuzifahamu websites nzuri za kuangalia mechi za mpira anisaidie
Back
Top Bottom