twitter na instagram

twitter na instagram

Kabelwa

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2015
Posts
684
Reaction score
201
ndugu kwa uzoefu wenu twitter na instagram mtandao upi uko vizuri kufuatilia mimi binafsi natumia zaidi hizi blogs kwahiyo nataka kuingia huko kwenye mitandao ya kijamii,asante.
 
Mitandao yote hiyo iko poa ila inategemea na account unayofollow, angalia sana content unayoihitaji ni ipi
 
huwa napendelea sana habari na michezo sasa mfano kwenye twitter nifuatilie page gani!
 
Kwanini usijifunze namna ya kutengeneza hela kwenye mtandao kuliko kutumia mtandao kuweka picha zako na kuchat na mademu tu
 
Fuatilia) follow), watangazazi maarufu wa Michezo wa ndani na nje ya nchi, Mfano Maulid Kitenge, Shaffii Dauda etc
 
foooooooooooooooooooooooooooooooooooooolow watu maarufu
 
Kwanini usijifunze namna ya kutengeneza hela kwenye mtandao kuliko kutumia mtandao kuweka picha zako na kuchat na mademu tu
Ifikie wakati mujifunze "MAKING & SPENDING"

Sikila sehemu tu na kwenye kila kitu Basi utake kutengeneza pesa Kuna sehemu ni nakutumia hizo pesa ulizotengeneza...Mtu anaweza akatumia mitandao kuwa sehemu yake ya ku-reflesh tu Basi ikatosha out of Social Network anatengeneza mamilioni kwa siku.

Wanaotengeneza pesa Online ni sehemu yao na Kuna watu si sehemu yako...
 
Fuatilia) follow), watangazazi maarufu wa Michezo wa ndani na nje ya nchi, Mfano Maulid Kitenge, Shaffii Dauda etc
Kitenge??

Follow skysport,433,Fabrizio,Champion leagues, pia follow club zako pendwa mfano Man.U,ManCity,PSG n.k

Kwa bongo
Follow george ambagile,Farhanjr(anajuaaa),,Shafiidauda,,Oscaroscar(kwa meme tu),,Ujugu hapa(meme za michezo),,Alwaatan abdulaziz,Tunu hassan...Gift macha,,privadinho,,pia follow timu yako pendwa kama simbasc,Yanga,,mbeya city n.k n.k
 
nashukuru na kwenye habari na matukio nifuatilia akina nani!
 
Millard Ayo iwe namba moja kabsa
Kisha page za station kama EFM,CLOUDS ,EATV , WASAFI n.k n.k pia Online TV kama Bongo5,,swahilimedia,dar24News n.kn.k
Pia page za umbea kama carrymastory,,,Mangekimambiz,Jaymaudaku, mfungua code n.k
Pia unaweza wafollow watu unaowakubali kama wasanii,,wachezaji n.k n.k
 
asante sana
 
Ifikie wakati mujifunze "MAKING & SPENDING"

Sikila sehemu tu na kwenye kila kitu Basi utake kutengeneza pesa Kuna sehemu ni nakutumia hizo pesa ulizotengeneza...Mtu anaweza akatumia mitandao kuwa sehemu yake ya ku-reflesh tu Basi ikatosha out of Social Network anatengeneza mamilioni kwa siku.

Wanaotengeneza pesa Online ni sehemu yao na Kuna watu si sehemu yako...
Upo sahihi mkuu

Haya msaidie ndugu yako hapo
 
Ni sawa na kusema Chungwa, Nanasi na Mapera yapi ni Mazuri..., ingawa yote ni matunda lakini yana flavor tofauti
 
Upo sahihi mkuu

Haya msaidie ndugu yako hapo
Hajataja NICHE ninayoifuatilia mtandaoni angetaja ningemshauri Clear lakini all in all kwenye suala la content ya Niche yoyote ile hakuna kama Twitter.
 
Back
Top Bottom