Developer options

Kabelwa

JF-Expert Member
Mar 19, 2015
637
250
habari ndugu zangu kwenye jukwaa hili, ninaomba mwenye kufahamu vitu muhimu vya kuseti kwenye developer options kwa simu inayotumia mfumo wa android na kazi yake,shukrani.

Sent from my TECNO K7 using Gazeti Lite
 
racka98

JF-Expert Member
Jul 7, 2020
981
1,000
Hakuna cha maana cha kubadilisha huko sikuhzi unless kma wewe ni developer na unatest baadhi ya vitu

Ila unaweza badilisha Default USB configuration ikawa kila ukichomeka usb kwenye computer inakua imeshaselect option unayotaka

Pia unaweza punguza animation duration kufanya simu yako iwe ina feel faster kwenye kufungua apps

Screenshot_20210414-165934.jpg
View attachment 1751892
 
Plan Radeem King

Senior Member
Mar 25, 2018
183
225
Mkuu huko wewe hapakuhusu huko huwa tunafanya umafia wa kuruhusu bootloader to be unlocked, pia kuruhusu adb ili kuweza kufanya maunyama yetu tunayoyajua.
Boss nna redmi note 6 Pro ipo rooted and I don't know why cause nilinunua used.
Sasa siku nyingi kdg nimepata software update ya MIUI 12, nilipo jaribu kuipakua na kumaliza ikataka ni install Manual!
SWALI, kwa nn inataka Manua na sio kama kawaida ya simu nyingine?

Natanguliza Shukurani
 
racka98

JF-Expert Member
Jul 7, 2020
981
1,000
Boss nna redmi note 6 Pro ipo rooted and I don't know why cause nilinunua used.
Sasa siku nyingi kdg nimepata software update ya MIUI 12, nilipo jaribu kuipakua na kumaliza ikataka ni install Manual!
SWALI, kwa nn inataka Manua na sio kama kawaida ya simu nyingine?

Natanguliza Shukurani
Sijajua ilikua rooted vipi ila usijaribu kuinstall ipdate kwenye simu iliyokua rooted. Flash stock firmware utoe root kwanza ndio uendelee
 
MoneyHeist4

JF-Expert Member
Jul 10, 2017
1,513
2,000

Mkuu iko rooted kwa sababu walifanya kafyekeche ya namba. Be care
 
Times9

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
2,217
2,000
Sijajua ilikua rooted vipi ila usijaribu kuinstall ipdate kwenye simu iliyokua rooted. Flash stock firmware utoe root kwanza ndio uendelee
Mkuu iko rooted kwa sababu walifanya kafyekeche ya namba. Be care
Labda alinunua iliyokua na Global ROM huko AE sometimes zinakujaga ziko rooted kabisa, N'way hajasema alinunua wapi kwa mtu au huko Aliexpress..

Kingine kama alivyosema MoneyHeist4 acheck IMEI no kama zina align ndani ya software na nyuma ya simu yake, Isije ikawa ni ya wizi na imefanyiwa ubatizo mpya...
 
racka98

JF-Expert Member
Jul 7, 2020
981
1,000
Labda alinunua iliyokua na Global ROM huko AE sometimes zinakujaga ziko rooted kabisa, N'way hajasema alinunua wapi kwa mtu au huko Aliexpress..

Kingine kama alivyosema MoneyHeist4 acheck IMEI no kama zina align ndani ya software na nyuma ya simu yake, Isije ikawa ni ya wizi na imefanyiwa ubatizo mpya...
Kweli aisee. Ukute mtu amechakachua huko
 
Plan Radeem King

Senior Member
Mar 25, 2018
183
225
Labda alinunua iliyokua na Global ROM huko AE sometimes zinakujaga ziko rooted kabisa, N'way hajasema alinunua wapi kwa mtu au huko Aliexpress..

Kingine kama alivyosema MoneyHeist4 acheck IMEI no kama zina align ndani ya software na nyuma ya simu yake, Isije ikawa ni ya wizi na imefanyiwa ubatizo mpya...
Namba zime mach na model
 
Plan Radeem King

Senior Member
Mar 25, 2018
183
225
Ulinunua wapi...!?

Aliexpress au mtaani..? Kama ni mtaani si ajabu mmiliki alikua mtundu wa kuchokonoa simu kama ulichukua Aliexpress Global ROM basi kama nlvoelezea hapo juu..
Alieniuzia ni jamaa yangu ambae alitumiwa simu na ndugu yake China.

Ilipatikana vp huko China hata jamaa yangu hajui
 
redcarpet

JF-Expert Member
Jul 25, 2014
210
250
Nahitaji kuiroot simu yangu kama itawezekana kwa anejua anielekeze kwa mtaalam ayeweza kuifanya kazi hii niko mkoa wa Tanga.
Kwanza changamoto ninazokumbana na kwenye hii simu yenye mfumo wa kichina inanikera Sana.
Ninakotoka mafundi walinitisha kuwa unaweza kuipoteza simu OK nimefikia maamuzi lolote liwalo poa
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom