Restrict app background data

Restrict app background data

Kabelwa

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2015
Posts
684
Reaction score
201
Wadau naomba kufahamu,kwenye setting za simu kuna hii kitu restrict app background data,je! ninatakiwa niweke on au off, naomba mwenye kufahamu aniweke sawa kwenye hili,asanteni.
 
Lengo ni nini?
kama ni ku save data weka ON.
Lengo ni kua apps haitatumia data kipindi ambacho huitumii, ila uki lunch tu app data zitaanza kutumika mfano whatsapp na kama kuna taarifa zozote zilizokua zimeingia utazipata.

kinyume na hapo acha hivyo hivyo Off, app ita run data hata ukiwa huitumii na utapata notifications all the time.
 
Back
Top Bottom