Nawezaje kupunguza matumizi ya MB kwenye facebook

Kabelwa

JF-Expert Member
Mar 19, 2015
655
164
Habari wanajamii nimetumia kwa muda mrefu hii application ya facebook lite sasa nimeona nijaribu kutumia hii nyingine facebook ingawa inachukua space kubwa.

Sasa nimeshtushwa na ulaji wake wa bando maana linakwenda haraka mno ninaomba kama kuna anaefahamu namna ya kuseti ili isile bando sana anisaidie.

Shukrani.
 
Sasa lisipokula bando unataka lile nini? Ugali?

FB lite ulikua kwenye picha na video hupati quality inayotakiwa huku kwa kawaida hakuna namna....

Kwani kwa siku unatumia bando kiasi gani?
 
Ingia Settings & Privacy > Data Saver uweke ON na ingia App Settings > Autoplay uzuie video kucheza zenyewe au tumia Facebook Lite.
 
Back
Top Bottom