Kabelwa JF-Expert Member Joined Mar 19, 2015 Posts 684 Reaction score 201 Dec 27, 2019 #1 Habari wanajamii, Ninaomba kufahamu hii Android security patch inasaidia nini kwenye simu sababu kwenye simu yangu huwa inakuja system update ya hiyo kitu. Shukrani.
Habari wanajamii, Ninaomba kufahamu hii Android security patch inasaidia nini kwenye simu sababu kwenye simu yangu huwa inakuja system update ya hiyo kitu. Shukrani.
king004 Senior Member Joined Dec 12, 2019 Posts 104 Reaction score 110 Dec 27, 2019 #2 Update tu haina shida inahusika na ulinzi wa simu yako so unavyoboresha (update) simu unazidi kuwa kwenye usalama mkubwa zaidi Sent using Jamii Forums mobile app
Update tu haina shida inahusika na ulinzi wa simu yako so unavyoboresha (update) simu unazidi kuwa kwenye usalama mkubwa zaidi Sent using Jamii Forums mobile app
Kiberenge JF-Expert Member Joined May 21, 2012 Posts 1,104 Reaction score 1,035 Dec 27, 2019 #3 Siti ya mbele kabisaaa
Kibumbula JF-Expert Member Joined Mar 26, 2018 Posts 3,697 Reaction score 3,413 Dec 27, 2019 #4 Kuimarisha usalama wa simu yako,yaani kwa upande wa software. Sent from my TA-1024 using Tapatalk