Msaada: Laini ya TTCL haisomi data

Kabelwa

JF-Expert Member
Mar 19, 2015
656
165
Habari ndugu,

Naomba msaada nina wiki mbili laini yangu ya ttcl haisomi data pamoja ya kuweka data roaming lakini bado ila kwa wengine inasoma tatizo ni nini! nikiwapigia huduma kwa wateja wananiambia niangalie kwenye setting na hiyo sett iko sawa sasa naomba msaada.
 
Angalia APN zipo? Na kama ipo APN angalia kama ina proxies fanya kuiedit hiyo Access Point na toa proxy au weka APN mpya make sometimes ku modify default APN inaweza kuzingua... Hiyo ni soln ya kwanza, ya pili ambayo ni ya uhakika kama una muda mrefu hujaweka salio laini ya TTCL huwa inakua inactive kwenye kushika mtandao mpaka uwatafute wakusaidie.

Achana na 100 wacheck WhatsApp

Screenshot_20231127-083314.jpg
 
Unaenda kwenye network searching, zikishakuja unachagua tigo unaregister.
Ndivyo walivyoniambia na nilifanya hivyo.
mpaka sasa inafungua data hiyo laini yako maana kwangu hiyo tigo inagoma kuregister wakaniambia nichague airtel ikakubali shida ikawa kwenye data haisomi
 
mpaka sasa inafungua data hiyo laini yako maana kwangu hiyo tigo inagoma kuregister wakaniambia nichague airtel ikakubali shida ikawa kwenye data haisomi
Nimeangalia inasoma lakini haifungui, inaload tu.
 
Nimeangalia inasoma lakini haifungui, inaload tu.
tatizo tunalolipata kwenye data ya ttcl ndio hilo na wengi wanakutana nalo tena haisomi kabisa kuna kialama cha data roaming(R)ndio kinaonekana
 
Back
Top Bottom