Channel ya Wasafi TV haionekani DStv

Channel ya Wasafi TV haionekani DStv

Kabelwa

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2015
Posts
680
Reaction score
200
Wadau hii channel ya Wasafi TV mbona haionekani kwasisi tunaotumia DStv now app, wakati king'amuzi kimeshalipiwa au wameshaitoa!
 
Nimeshajiunga na mtu mwenye dstv ila hiyo channel siipati.
 
Nimeipata ila haiko hewani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom