Natumia laini ya ttcl ila kuanzia juzi haisomi kwenye data ninaomba msaada

Kabelwa

JF-Expert Member
Mar 19, 2015
656
165
Habari ndugu mimi natumia laini ya ttcl ila kuanzia juzi haisomi kwenye data ninaomba msaada anaefahamu namna ya kuiwezesha ili iweze kusoma data nimejaribu kuwasiliana na ttcl na nimefuata maelekezo yao lakini bado inaonyesha kialama cha R ukiwasha data,asante.
 
Habari,

Umetatua changamoto hiyo?

Kama bado kwanini usijaribu kuwapigia simu na kuomba msaada.
Yawezekana ni issue ya settings za internet tu
 
Nimewapigia na wametoa maelekezo yao lakini shida iko palepale na si mimi tu kama kuna mru humu jf laini yake ya ttcl inasoma upande wa data atuelekeze amewezaje au ameelekezwa vipi tofauti na wengine
 
Back
Top Bottom