Search results

  1. impongo

    Binadamu & Viumbe hai tuna faida gani Duniani?

    Mada haihusiani na dini. 1. Viumbe hai tuna msaada gani kwa Dunia Nini faida yetu? 2. Nini thamani ya viumbe hai hapa duniani mchango wetu ni upi? 3. Ikitokea viumbe hai hakuna katika sayari hii, je Dunia itaathirika kwa lolote ni madhara gani yatakayoipata Dunia kutokana kutokuwepo viumbe...
  2. impongo

    Nilikamatwa na Polisi na kufichwa Kituo kilichopo Dar kwa siku tatu bila kula nikipewa vitisho

    Sitaandika yote kuficha kujulikana Kwasababu za usalama wangu na sitataja Kituo (mojawapo ya vituo vya police DSM) Kwasababu walio nifanyia hayo mateso, wapo na wanaendelea na utumishi wao kuumiza wa Tanzania. Sitosahau mwaka 2021 mwezi March nilipokea simu ya mtu aliyejitambulisha kuwa ni...
  3. impongo

    TRA ilivyofifisha ndoto zangu, kujiajiri Tanzania ni zigo la misumari

    Mwaka 2008 nilipata ajira ya kibarua Cha muda mfupi (miezi 3) katika moja ya taasisi za kimataifa. Baada ya kumaliza mkataba wa kibarua changu nilipata pesa kidogo ambayo nilijishauri kujiajiri na kuajiri vijana wenzangu kwasababu ya tatizo la uhaba wa ajira ili kuipunguzia mzigo Serikali...
  4. impongo

    TANESCO ni shirika la hovyo, lisipofumuliwa kuundwa upya ni mzigo kwa Serikali na Wananchi

    Kiukweli hili shirika linasikitisha yanayoendelea ni aibu kwa mamlaka zetu zinazohusika na kupambana na kuzuia Rushwa kwamba kinachoendelea hakijulikani au wameamua kwa makusudi kila mbuzi ale kwa urefu wa kamba yake? 1. Kupata survey bila kutoa rushwa utakaa miezi hata mi nne au zaidi. 2...
  5. impongo

    Kuanzia leo 7 Novemba, 2021 mimi na wafanyakazi wenzangu hatutatumia Mtandao wa Tigo kwakuwa wanaingilia faragha za wateja

    Binafsi si mwanasiasa na siwezi kuwa mwanasiasa ila ni mpenda haki nimeamua kujiondoa kutumia huduma za mtandao wa TIGO kwa sababu hizi: Katika kesi ya ugaidi inayomkabili mbowe na wenzake mwanasheria wa Tigo alidai kuwa huwa wanatoa taarifa za wateja za miamala na mawasiliano bila ridhaa ya...
  6. impongo

    Ndugu zetu wa Mara mnakwama wapi

    Mara
  7. impongo

    Andrew Felix Kaweesi (AIGP) nyota ya wananchi wa Uganda iliyofifishwa na wanasiasa

    Kaweesi alizaliwa katika Kyazanga, wilaya ya Lwengo. Wazazi wake (Esther na Alfonse Mutabazi) waliendelea wakati wa utoto wake na hii ilimuacha yeye na nduguze mikononi mwa jamaa zake. Wazazi wa Kaweesi waliwaachia ardhi ya ekari 640 katika kijiji cha Kitwekyagonja wilayani Lwengo. .baadaye...
  8. impongo

    Kauli mbiu 2020 Mtanzania Pambana usikate Tamaa (ugumu wa maisha iwe changamoto ya mafanikio)

    Heri ya Mwaka Mpya. Unakata tamaa unamkatia nani? Pambana Pambana Pambana Usikate tamaa Ugumu wa maisha iwe changamoto ya mapambano kutafuta mafanikio. Hakuna mafanikio pasipo mapitio magumu Sent using Jamii Forums mobile app
  9. impongo

    Kada wa CCM atimuliwa nyumbani kwao anaomba msaada wa hifadhi

    https://www.jamiiforums.com/index.php?posts/33498286
  10. impongo

    Hai Kilimanjaro: Video ya kutekana nini kifanyike kukomeshwa huu upuuzi?

    Katibu mwenezi CHADEMA jimbo la Hai, Humphrey anasema "alitekwa na kulazimishwa kufanya mahojiano na @ayotv_ kupinga maamuzi ya kujitoa uchaguzi serikali za Mitaa". 'syndicate' ya watekaji ni kubwa lakini inafanywa kiboya sana. Inawaacha uchi watekaji
  11. impongo

    Sheria ya kushitaki makampuni ya mitandao na simu kwa usumbufu na hasara

    Leo nimejiunga kifurushi cha Tzs. 5,000 kupitia Tigo Pesa nimekatwa pesa na sikupata kifurushi nimepiga simu huduma kwa wateja nikaambiwa nisubiri masaa 72 nitarejeshewa pesa yangu iliyokatwa kuna tatizo la mtandao. Je kwa huu usumbufu hatuna sheria ya kuwashitaki mitandao ya simu? Mwaka huu...
  12. impongo

    Birthday ya Mbwa (hili stokuja kusahau)

    Tulipewa dili la kazi ya kubadilisha mazulia katika nyumba ya tajiri mzee mmoja wa KIHAYA Masaki na siku hiyo ilikuwa siku kuzaliwa ya mbwa wake aina ya (Germany shepherd) ilikuwa 2007 siku kama ya leo. KEKI KUBWA ILIKATWA NA TUKAFURAHIA Ilifanyika tafrija kabambe tulikunywa na kula kusaza...
  13. impongo

    Chama Cha Kijamii (CCK) chajiondoa kushiriki Uchaguzi Serikali za Mitaa

    Ndugu viongozi na wanachama wa Chama Cha Kijamii - (CCK) pamoja na watanzania wote kwa ujumla, naomba kuchukua fursa hii kuwataarifu kwamba Chama chetu kimejitoa rasmi katika mchakato wa uchaguzi wa serikali za mtaa kutokana na ukandamizwaji wa haki za kisiasa
  14. impongo

    Chama cha CHAUMMA chajitoa kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2019

    Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kupitia kwa Mwenyekiti wake kimatangaza hivyo leo Novemba 09, 2019 ili ni takribani siku 15 kufanyika kwa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Nchini kote
  15. impongo

    Uchaguzi S/Mitaa Hat Trick Hongera CCM, Hongera Serikali ya CCM

    Hongereni kwa ushindi wa kishindo. Sioni haja ya kutupangisha foleni tena wakati tayari Watendaji wamekipa chama na Serikali ushindi wa 99%. NASEMA HONGERENI SANA CCM HOYEE KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
  16. impongo

    Bila CHADEMA huenda mpaka leo tusingefahamu ufisadi na Madudu ya watawala wetu.

    Upinzani umesaidia leo hii hata mlala hoi wa kule kwetu sigimbi anafahamu maana ya ufisadi upinzani si uadui bali ni wenye mrengo wa kusaidia pale ambapo serikali imejisahau kukumbusha. Leo hii bila upinzani tujiulize tungekuwa wapi? Upinzani ni ukombozi wetu kifikra leo tunatembea kifua mbele...
  17. impongo

    Kuchapwa viboko wanafunzi wakuchoma mabweni wa mali za shule hakutoshi tuwe na sheria ya KUNYONGA watakaobainika.

    Nimpe pongezi kidogo Mkuu wa mkoa wa Mbeya. Adhabu ile haitoshi (angechapa viboko 100) uharibifu ni mkubwa, mno kuchoma mabweni na uharibifu mkubwa wa mali wa namna ile haivumiliki. Hizi ni kodi za walalahoi Zinazojenga na kuweka Samani Mashuleni. Ikitokea wapuuzi 2 wavutaji bangi wahamasishe...
  18. impongo

    Nini tatizo Mabaharia kuomba omba msamaha?

    Humu jamvini na ktk taasisi mbalimbali kumekuwa na wimbi kubwa la watu kuomba huruma na msamaha je hizi ndio sifa za mabaharia? Mabaharia ni watu dhaifu kiasi hiki?
  19. impongo

    Hii imenishangaza

    https://l.likee.video/s/80lklXcn5tx_1673696024_1113012373?c=cp&b=279789858&l=en&af_sub1=st_t3&af_sub2=1_1844&e=detail
Back
Top Bottom