Birthday ya Mbwa (hili stokuja kusahau)

impongo

JF-Expert Member
Feb 18, 2015
8,732
7,611
Tulipewa dili la kazi ya kubadilisha mazulia katika nyumba ya tajiri mzee mmoja wa KIHAYA Masaki na siku hiyo ilikuwa siku kuzaliwa ya mbwa wake aina ya (Germany shepherd) ilikuwa 2007 siku kama ya leo.
KEKI KUBWA ILIKATWA NA TUKAFURAHIA

Ilifanyika tafrija kabambe tulikunywa na kula kusaza kipindi hicho hakuna picha ingekuwa sasa taarifa za picha zingeenea kila mahali.
Huyo mzee alikuwa Afisa wizara fulani.
 
Matukio unayoyaona au kuhudhulia ni theruthi kwa yale usiyoyaona au kuhudhulia.

Ndugu dunia haina usawa so ukiona endelea tu kushangaa ila kuna zaidi ya huyo mmoja.
 
Kuna wakatit bora kumfanyia hata mbwa wako kulikoe kuufanyia mchepuko wako ambao kati ya wageni waalikwa kuna bwana zake kama wanne hivi afu kibaya zaid wanatambulishwa kwako kama ndugu!!
Hata wazungu wanathamini zaidi pets na wanawachukuliar kama part of the family!
Nshomile akizishika pesa anakuwa zaidi ya aristocracy
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom