Uchaguzi S/Mitaa Hat Trick Hongera CCM, Hongera Serikali ya CCM

impongo

JF-Expert Member
Feb 18, 2015
8,732
7,611
Hongereni kwa ushindi wa kishindo.

Sioni haja ya kutupangisha foleni tena wakati tayari Watendaji wamekipa chama na Serikali ushindi wa 99%.

NASEMA HONGERENI SANA

CCM HOYEE
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
 
CCM ni shiiida njama za Naibu Rais Daud Bashite kumshauri Mtukufu warejeshe mfumo wa chama kimoja watawale milele kama China zimeanza kuonekana kwa mbali ingawa hawajui kuwa upinzani huwa upo moyoni mwa mtu japo mwingine hakuonyeshi machoni.
 
Ya Cameroon, Uganda, Zimbabwe, China sasa yanaenda kuwa ndiyo maisha lazimishi toka CCM, uipende CCM usiipende, uichague usiichague itakuongoza tu tena hata bila kufuata Sheria wala katiba, kwa sasa Nchi inaongozwa kwa zidumu fikra binafsi za mwenyekiti wa CCM Taifa siyo kwa mujibu wa katiba na Sheria.
 
Kwa Tanzania wanaweza kufanikiwa wa Tanzania ni waoga mno hivi sasa hata ukipita kijiweni ukaongea kuhusu jiwe watu wote wanahama kijiwe na kukuambia habari hizo achana nazo bado tunahitaji kuishi.
 
Sijaelewa.

Kwani kura zimeshapigwa?

Embu nielewesheni
CCM imepita wapinzani wamekosea kujaza fomu (taarifa za watendaji) kwa maana hiyo kura 1 ya mgombea mwenyewe inatosha kumpa ushindi.
 
Kwa Tanzania wanaweza kufanikiwa wa Tanzania ni waoga mno hivi sasa hata ukipita kijiweni ukaongea kuhusu jiwe watu wote wanahama kijiwe na kukuambia habari hizo achana nazo bado tunahitaji kuishi.

Ni shiiida
 
Ya Cameroon, Uganda, Zimbabwe, China sasa yanaenda kuwa ndiyo maisha lazimishi toka CCM, uipende CCM usiipende, uichague usiichague itakuongoza tu tena hata bila kufuata Sheria wala katiba, kwa sasa Nchi inaongozwa kwa zidumu fikra binafsi za mwenyekiti wa CCM Taifa siyo kwa mujibu wa katiba na Sheria.
Wamefanikiwa na wametengeneza taifa la waoga hata kunguru ana nafuu
 
Kwa Tanzania wanaweza kufanikiwa wa Tanzania ni waoga mno hivi sasa hata ukipita kijiweni ukaongea kuhusu jiwe watu wote wanahama kijiwe na kukuambia habari hizo achana nazo bado tunahitaji kuishi.
Hizi ndizo zinazoitwa porojo
 
Back
Top Bottom