impongo
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 8,844
- 7,904
Mada haihusiani na dini.
1. Viumbe hai tuna msaada gani kwa Dunia Nini faida yetu?
2. Nini thamani ya viumbe hai hapa duniani mchango wetu ni upi?
3. Ikitokea viumbe hai hakuna katika sayari hii, je Dunia itaathirika kwa lolote ni madhara gani yatakayoipata Dunia kutokana kutokuwepo viumbe hai?
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app