Kauli mbiu 2020 Mtanzania Pambana usikate Tamaa (ugumu wa maisha iwe changamoto ya mafanikio)

impongo

JF-Expert Member
Feb 18, 2015
8,732
7,611
Heri ya Mwaka Mpya.

Unakata tamaa unamkatia nani?
Pambana Pambana Pambana Usikate tamaa

Ugumu wa maisha iwe changamoto ya mapambano kutafuta mafanikio.

Hakuna mafanikio pasipo mapitio magumu


Sent using Jamii Forums mobile app
 
teh teh hii mada nzuri lakini imekauka, inaonyesha nini kinaendelea hapa,
ukipita barabarani utawaona vijana vijiweni wanaongea tunda kimasikhara tu.
 
Back
Top Bottom