Kada wa CCM atimuliwa nyumbani kwao anaomba msaada wa hifadhi

Maisha yenyewe haya magumu unaanzaje kubagua kazi? Hata kama mimi nikipata sehemu yenye hela ni kupiga kazi bila kuangalia chama gani. Huyo jamaa kamaliza chuo hana kazi, imejitokeza kazi kwenye serikali za mitaa. Ukae tu umepigika kisa wazazi hawaipendi CCM. Big No
Ukumbuke maisha ni ya mtu mmoja mmoja kwahiyo nikufanya kazi yoyote ile halali ili upige pesa. Tuache mitazamo hasi tupige kazi yenye hela. Hata kama ningekuwa huyo jamaa ningefanya kazi. Jerry Muro kaitukana wewe Chadema leo hii ni mkuu wa wilaya anakula mshahara wake mzuri na ulinzi juu. Kuna kipindi inabidi uwe mjinga tu ili upige hela.
AFRIKA HAKUNA HAKI WALA DEMOKRASIA. AFRIKA NI SEHEMU YA KUPIGA PESA TU. UKIPATA NAFASI HATA YA UBUNGE, PIGA PESA NA TENGENEZA MAZINGIRA HATA YA WAJUKUU WAKO WALE PESA ZAKO. WEWE JIFANYE MPIGANIA HAKI AFRIKA UTAISHIA KUFA
 
Back
Top Bottom