Search results

  1. Shebbydo

    Tunauza Sangara kwa bei ya Tsh 7000/1kg

    Tunauza Sangara kwa bei ya Tsh 7000/1kg, Tupo Tegeta kwa ndevu. Mawasiliano 0678033668 Pia ninahitaji mtu wa kufanya marketing ya Samaki Sangara na Sato kwa jumla. Malipo tutaongea
  2. Shebbydo

    Aina hii ya ndege uchunguzi wa kitaalam kuhusu "performance" ya ndege unahitajika.

    Habari wana JF. Ni takriban miezi mitano tu imepita tangu kutokea ajali mbaya ya ndege ya shirika la LION AIR la Indonesia, aina ya BOEING 737 MAX 8. Jana Jumapili tarehe 10/03/2019 inatokea ajali nyingine ya shirika la ndege la Ethiopia ambayo inauwa takribani aburia 157 wote waliokuwa ndani...
  3. Shebbydo

    Kwa hili la MV NYERERE, najiuliza kwa nini Usalama wa vyombo vya majini hutiliwi mkazo kama Usafiri wa Anga?

    Ni masikitiko yangu makubwa kwa kila ajali ya usafiri wa majini unapopata ajali, utasikia taarifa za chombo kilikuwa kimebeba kupitiliza uwezo wake. Nikianza na tukio la kuzama kwa MV BUKOBA mwaka 1996, MV SPICE na sasa MV NYERERE story ni ile ile. Sina uelewa mkubwa sana na sheria za usafiri wa...
  4. Shebbydo

    Airbus A380 kwa mara ya kwanza imetua Tanzania uwanja wa JNIA

    A380 imetua JNIA kwa dharura kutokana na hali ya hewa kuwa mbaya huko Mauritus ilikokuwa ikielekea. --------- Ndege kubwa aina ya Airbus A380 mali ya Shirika la Ndege la Emirates imetua kwa dharura katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) uliopo jijini Dar es Salaam, baada...
  5. Shebbydo

    Jeshi la Polisi mmelitia simanzi Taifa zima

    Habari wana jf Taifa zima lipo katika huzuni kubwa kutokana na kifo cha mapema cha aliyekuwa mwanafunzi wa Chuo cha Usafirishaji (NIT). Kifo ambacho kimesababishwa na utendaji mbovu na usiyozingatia sheria wa Jeshi la polisi. Nadiriki kusema ni utendaji mbovu kwa sababu moja tu, kutumia risasi...
  6. Shebbydo

    Tujifunze kidogo kuhusu ndege (airplane)

    Habari Wanajukwaa Ni matumaini yangu kuwa mu wazima bukheri. Kuna tangazo moja la redio la malaria huwa linanivutia sana, mtoto anamuuliza baba yake kuhusu ndege inavyoweza kupaa angani. Mzee kutokuwa na elimu hata kidogo tu ya aviation anajitetea kwa kumwambia mwanaye hayo ni maarifa ya juu...
  7. Shebbydo

    Ma-IT wa NECTA mjitathmini

    Habari Wandugu Ni matumaini yangu mu wazima. Ni jana tarehe 08/01/2018, baraza la mitihani la taifa lilitangaza matokeo ya upimaji ya kidato cha pili na darasa la nne. Mimi pia nikiwa ni mdau wa elimu, nikaona vyema niingie kwenye website yao niangalie maendeleo ya vijana wetu. Jambo la...
  8. Shebbydo

    Kwanini wanawake wanaosemekana ni wazuri ndiyo wanaoongoza kupiga picha uchi?

    Habari wanabodi, Ni matumaini yangu kuwa mu wazima bukheri wa afya. Katika pitapita yangu hapa JF, nimekutana na uzi mmoja wenye kichwa "tupia hapa picha ya demu mkali". Katika mantiki ya kawaida unaweza kuuita huu uzi hauna maana sana, lakini mimi katika kutafakari ya maana nzuri inayoweza...
  9. Shebbydo

    Wewe dada, sasa hivi unajiona "unalipa" hutaki kuolewa, kumbuka seli huzeeka

    Habari wanabodi, Ni matumaini yangu kuwa mu wazima wa afya. Leo najitokeza huku kuongea na dada zangu. Haswa waliojaliwa siha nzuri na Mwenyezi Mungu. Tangu utotoni wakiwa wanasifiwa kuwa wao ni warembo hata wao kujenga mtazamo chanya kuwa wao ni warembo. Wakajenga imani na matarajio...
  10. Shebbydo

    Watanzania Tusipobadilika Kifikra ni Itakuwa Vigumu kupata Maendeleo binafsi na Taifa kwa Ujumla

    Habari wanabodi Ni matumaini yangu kuwa mu wazima wa afya. Nichukue nafasi hii kutoa mtazamo wangu katika haya ninayoyaona miongoni mwetu Watanzania, hasa hasa kuhusiana na maendeleo. Nianze kwa kusema kwamba bila mabadiliko ya kifikra na kimtazamo, itakuwa vigumu kwetu kufikia maendeleo...
  11. Shebbydo

    Laiti nisingeandika bandiko hili labda Ben Sanane asingepotea

    Habari wanabodi Leo nilikuwa nikipitia "threads" zangu mbalimbali ambazo niliwahi kuandika hapa JF. Nimejikuta nikisononeka baada ya kuiona "thread" yangu moja yenye kichwa hiki, "Nitapata wapi chapisho la kitaaluma la Dr. Joseph Pombe Magufuli?" Nilipoandika uzi huu, wadau walinielekeza wapi...
  12. Shebbydo

    Waliompotosha JK kuhusu pesa za ESCROW nao washughulikiwe

    Nina imani kuwa tulio wengi bado tunakumbuka vizuri hili sakata la ESCROW. Kauli iliyofunga mjadala ni ile iliyotolewa na mkuu wa nchi wa kipindi hicho kuwa pesa ile haikuwa ya umma. Mimi sina tatizo na aliyetoa kauli hiyo kwa sababu nafahamu kuwa yeye alikuwa ni mtu wa kuletewa taarifa. Nina...
  13. Shebbydo

    Ni wapi wanakoboa mahindi kuwa unga wa sembe na kufunga (packaging)?

    Wakuu habari, Kama heading inavyojieleza. Ninaomba kujuzwa na aliye na ufahaumu wa taratibu za kukoboa mahindi kuwa sembe pamoja na kuufungasha. Naomba kujua ni wapi inafanyika kazi hiyo ikibidi na gharama zake kwa hapa Dar. Je, pia kuna ulazima wa kuziona mamlaka kama vile TFDA na TBS...
  14. Shebbydo

    Mh. Rais haya hayajawahi tokea Tanzania

    Habari wana JF, Leo nachukua fursa hii kuongea na Mh. Rais John Pombe Magufuri, bila kumung'unya maneno, Mh. Rais naanza kukuambia mambo haya hayajawahi tokea Tanzania. Ni awamu tano sasa za uongozi katika nchi yetu hii tangu uhuru, hapajawahi kutokea kiongozi yeyote, wa ngazi yoyote...
  15. Shebbydo

    Makosa ya Sheria ya makosa ya Mitandao

    Habari wana JF, Ni masikitiko makubwa kwa hili lililotokea la kukamatwa kwa mwanzilishi na mmiliki wa huu mtandao wa jamii forum, bwana Maxence Melo. Nimejaribu kufuatilia ili kujua ni nini kilichosababisha Max kukamatwa, napata majibu kuwa ni kwa sababu amekataa kutoa taarifa za wanachama wa...
  16. Shebbydo

    Wizara ya Viwanda na Biashara, taarifa zao za bei za mazao siyo sahihi.

    Habari Wana JF, Katika website ya wizara ya viwanda na bishara, kuna kipengele ambacho huwa wanaweka taarifa za bei za mazao hasa ya vyakula. Hii huwa ni madhumuni ya kumsaidia mfanyabiashara kujua bei katika mikoa mbalimbali zipoje. Lakini katika utafiti wangu nimegundua taarifa hizi hazina...
  17. Shebbydo

    Utawala huu Unafalsafa ya Kuendeleza Vitu na Si Watu.

    Habari, Wana Jf Naanza kwa kumkumbuka Muasisi wa taifa hili hayati Baba wa Taifa Mwalimu JK Nyerere ambaye aliridhia kutumia hata uchumi wetu kwa ajili ya kuwakomboa Waafrika wenzetu kusini mwa Afrika. Kilichomsukuma Mwalimu ni ubinadamu. Hakuwa na furaha ya kuona Tanzania ikipepea kimaendeleo...
  18. Shebbydo

    Utafiti wa Kisayansi: "Kuna maisha baada ya Kifo"

    Utafiti huu umefanywa nchini Ujerumani kwa ushirikiano wa Wanasaikolojia, madaktari wa binadamu na chuo kikuu cha Technische Universitat of Berlin. Utafiti huu ulisimamiwa na daktari Berthold Ackermann. Utafiti ulifanywa kwa watu 944 ambao walijitolea wenyewe kwa vipindi tofauti tofauti ndani...
  19. Shebbydo

    Wananchi hawakuichagua Serikali hii Iwatese

    Habari wana bodi Nalazimika kusema haya kutokana na hali ya mambo mbalimbali yanayoendelea hapa nchini. Hali si shwari hata kidogo. Ifike wakati tuite nyeupe ni nyeupe na nyekundu ni nyekundu. Nikianza na hali ya uchumi wa mtu mmoja mmoja hali ni mbaya sana. Si wafanyabiashara wala wafanyakazi...
  20. Shebbydo

    Sikubaliani na suala la TANESCO kukata Rufaa kesi ESCROW

    Habari wana JF Nianze kwa kuonesha msimamo wangu juu ya mchakato wa TANESCO kutaka kukata rufaa hukumu iliyotolewa ICSID. Mimi siungi mkono ukatwaji wa rufaa hiyo kwa sababu zifuatazo: Sioni TANESCO kukata rufaa wanatafuta nini! Je, wanamtetea Harbinder Singh Seth ambaye amekwapua pesa ambazo...
Back
Top Bottom