Laiti nisingeandika bandiko hili labda Ben Sanane asingepotea

Shebbydo

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2015
Posts
1,176
Reaction score
1,939
Habari wanabodi

Leo nilikuwa nikipitia "threads" zangu mbalimbali ambazo niliwahi kuandika hapa JF. Nimejikuta nikisononeka baada ya kuiona "thread" yangu moja yenye kichwa hiki, "Nitapata wapi chapisho la kitaaluma la Dr. Joseph Pombe Magufuli?"

Nilipoandika uzi huu, wadau walinielekeza wapi ambapo ningeweza kupata nilichokuwa nakitafuta. Kweli niliipata "thesis" iliyompa Rais Magufuli PhD. Baada ya kuipata nikaisoma, nilikuja na uzi mwingine ambao ulikuwa na kichwa hiki "Nimelipata andiko la Dr. Joseph Pombe Magufuli" ambao ndani yake niliongelea kwa nini mheshimiwa Rais asiitafsiri "thesis" yake katika vitendo ili kuiongeza korosho thamani. Kwa maana kwamba sasa mbali na korosho yenyewe, tungeweza kupata mafuta ya kuzuia kutu kutokana na maganda yake. Ule uzi nadhani baadaye mods waliufuta baada ya kubeba sura nyingine kutokana na baadhi ya watu kuanza kuhoji uhalali wa PhD ya mheshimiwa.

Kilichonifanya nisononeke moyo wangu ni pale nilipowaza kuwa yawezekana nyuzi zangu hizo ndizo zilizokuwa chanzo cha mawazo ya kuhoji uhalali wa PhD za watu. Na matokeo yake ndiyo kutoweka kwa mtu aliyelishikia bango jambo hili. Naomba nieleweke vyema kuwa simaanishi kuwa waliompoteza Ben ni wale ambao alihoji uhalali wa PhD zao, la hasha, hata watu wengine wanaweza kumpoteza kwa kuwa tu alishajenga sura ya kuhoji jambo ambalo lingeweza kumletea matatizo.

Mwisho niombe jeshi la polisi litupe mrejesho wa wapi ulipofikia upelelezi wa upotevu wa Ben Sanane.
 
Pole angalia SMG isije ikawa zawadi yako.
 
Nazikumbuka vizuri sana hizi nyuzi
 
Saanane yuo anaonekana kwenye vijiwe vya kahawa na marafiki zake akina yericko

Ni suala nyeti. Hatutaki utani. Kumbuka ni maisha ya mtu na familia yake. Lete uthibitisho hapa pamoja na picha za vijiweni anakoonekana Ben saanane. La sivyo, ama kaa kimya kuanzia sasa au utalisaidia taifa kupatikana kwa Ben.
 
Ahah,je Ben saa nane u wap?msalimie mawazo mwambie ccm mbere kwa mbere
 
Habari wanabodi

Leo nilikuwa nikipitia "threads" zangu mbalimbali ambazo niliwahi kuandika hapa JF. Nimejikuta nikisononeka baada ya kuiona "thread" yangu moja yenye kichwa hiki, "Nitapata wapi chapisho la kitaaluma la Dr. Joseph Pombe Magufuli?"

Nilipoandika uzi huu, wadau walinielekeza wapi ambapo ningeweza kupata nilichokuwa nakitafuta. Kweli niliipata "thesis" iliyompa Rais Magufuli PhD. Baada ya kuipata nikaisoma, nilikuja na uzi mwingine ambao ulikuwa na kichwa hiki "Nimelipata andiko la Dr. Joseph Pombe Magufuli" ambao ndani yake niliongelea kwa nini mheshimiwa Rais asiitafsiri "thesis" yake katika vitendo ili kuiongeza korosho thamani. Kwa maana kwamba sasa mbali na korosho yenyewe, tungeweza kupata mafuta ya kuzuia kutu kutokana na maganda yake. Ule uzi nadhani baadaye mods waliufuta baada ya kubeba sura nyingine kutokana na baadhi ya watu kuanza kuhoji uhalali wa PhD ya mheshimiwa.

Kilichonifanya nisononeke moyo wangu ni pale nilipowaza kuwa yawezekana nyuzi zangu hizo ndizo zilizokuwa chanzo cha mawazo ya kuhoji uhalali wa PhD za watu. Na matokeo yake ndiyo kutoweka kwa mtu aliyelishikia bango jambo hili. Naomba nieleweke vyema kuwa simaanishi kuwa waliompoteza Ben ni wale ambao alihoji uhalali wa PhD zao, la hasha, hata watu wengine wanaweza kumpoteza kwa kuwa tu alishajenga sura ya kuhoji jambo ambalo lingeweza kumletea matatizo.

Mwisho niombe jeshi la polisi litupe mrejesho wa wapi ulipofikia upelelezi wa upotevu wa Ben Sanane.
ben si tuliambiwa ataibuka? alafu issue ya ben ni simple kamuulize mbowe
 
Mkuu nami naomba nisukumie andiko la PhD ya mkuu hapa nisomeee

Nasikia hata ishu ya Bomberdiar aliyeianzisha ni ZZK! Mwenyewe yupo Kigoma huko, wala hachangiwi pesa...
 
Ni suala nyeti. Hatutaki utani. Kumbuka ni maisha ya mtu na familia yake. Lete uthibitisho hapa pamoja na picha za vijiweni anakoonekana Ben saanane. La sivyo, ama kaa kimya kuanzia sasa au utalisaidia taifa kupatikana kwa Ben.
Lakini Saed Kubenea alesema hivyo, tena alikuwa serious kabisa kuhusu kuonekana kwa Ben vijiweni. Bahati mbaya sana, CDM hawakuwahi kulisemea hili.
 
Back
Top Bottom