Kwanini wanawake wanaosemekana ni wazuri ndiyo wanaoongoza kupiga picha uchi?

Shebbydo

JF-Expert Member
Feb 12, 2015
1,174
1,937
Habari wanabodi,

Ni matumaini yangu kuwa mu wazima bukheri wa afya.

Katika pitapita yangu hapa JF, nimekutana na uzi mmoja wenye kichwa "tupia hapa picha ya demu mkali". Katika mantiki ya kawaida unaweza kuuita huu uzi hauna maana sana, lakini mimi katika kutafakari ya maana nzuri inayoweza kupatikana katika maudhui ya ndani, nikapata wazo. Hebu niingie ndani nione wachangiaji katika uzi huu watakuwa wamemaanisha nini kuhusu uzuri wa mtu. Nikaamua kupitia picha karibia zote.

Katika mambo niliyoyaona hasa katika jicho la kisaikolojia, ni tofauti ya kisaikolojia kati ya wanawake wanaosemekana ni wazuri na wale wa kawaida. Ninatumia neno " wanaosemekana" kwa sababu uzuri wa kitu upo machoni mwa mwenye kukiona. Tofauti hii inakuja baada ya kuona karibia 100% ya picha zote nilizoziona ni za nusu uchi na wanawake waliopiga picha hizo karibia 100% ni hao wanaosemekana ni wazuri.

Mimi nimebaki na maswali yasiyokuwa na majibu. Nayo ni haya:
1: Je, hawa wanawake wazuri hupiga picha hizo za utupu ili kuuwaaminisha ulimwengu kuwa wao ni wazuri?

2: Je, wanawake hawa wanaoamini kuwa wao ni wazuri huwa wanamlenga nani aone maumbile yao hayo mazuri? Je, walengwa ni sisi wanaume au ni kuwakoga wanawake wenzao? Na kama ni sisi wanaume ni kwa faida gani? Au ili watutie majaribuni?
3: Je, si kwamba hawa wadada wana matatizo ya kisaikolojia? Hasa superiority complex?

Hili la tatu hasa kwa mtazamo wangu ndilo tatizo kubwa linalowasumbua. Wanajiweka wazi ili kuonesha wao ni superio kimaumbile. Wale wa kawaida hawana muda wa kujifunua miili yao kwa sababu wao wameridhika na hali zao. Wadada mnaosemekana ni wazuri, tafakarini matendo hayo. Msiwe ni mawakala wa kuuwaangamiza ulimwengu. Maumbo yenu ni "silaha za maangamizi" kwa wanaume. Nyinyi ndiyo mnaweza kuongeza ama kupunguza idadi ya vijana wanaofanya "masturbation" kupitia picha zenu.
 
Wana pesa za kununulia simu kali ndio maana wanapiga picha nyingi hadi za uchi, ila wasichana wa kawaida wengi wao hawana pesa so hata vifaa vya kupigia picha hawana.

NB:
KIZURI CHAJIUZA, KIBAYA CHAJITEMBEZA
 
Wana pesa za kununulia simu kali ndio maana wanapiga picha nyingi hadi za uchi, ila wasichana wa kawaida wengi wao hawana pesa so hata vifaa vya kupigia picha hawana.

NB:
KIZURI CHAJIUZA, KIBAYA CHAJITEMBEZA
Sidhani kama unamaanisha! Itakuwa umeamua kuweka utani kwenye uzi huu.
 
Anayefikiri kuwa yeye ni mzuri ajue tu kwamba aliyemwambia alimpoteza sio siri, kila mtu ajione ni wa kawaida atakuwa mzuri kwa yule atakaye mtamani kimapenzi na atakayeamua kumuoa baada ya kuridhika na kile atakachokiona ni kizuri kwake na kitamsaidia waishi miaka yote bila ugonvi wala malumbano na si vinginevyo.
 
Kila mtu ana choice yake na kila mtu ana taste yake hii haiwezi kuwa kwa kila mtu ila inaweza kuwa kwa watu flani, kwa hiyo msicchana nayejiona ni mzuri aendelee ila ajue kwamba si kwa kila mtu hata kwa wenye nia mbaya pia wanaweza wakamuona na kumsifu kuwa ni mzuri ili watimize lengo au wampate vizuri.
 
Unakubaliana na mimi hilo ni tatizo la kisaikolojia? Hiyo ni superiority complex
Sawa kabisa...na sie wenye sura na maumbo ya hivihivi tunakabiliwa na inferiority complex hakuna aliyebaki salama
 
Shetani ni mwepesi wa kusoma nyakati kwa sasa anafahamu watu wengi wanapenda ngono kawaingizia vitu vingi huko ili kuharibu fahamu zao zaidi wasahau kumcha mungu wao
 
Back
Top Bottom