Search results

  1. mzaramo

    Ndugu zake na mpenzi wangu walivyonilazimisha kwenda kwa mganga

    Mwaka 2015 Nilirudi kutoka kutafuta maisha,sikuwa mbali sana na nyumbani nilikuwa moja kati ya nchi zinazotuzunguka... Huu ni mwaka uliokuwa na matukio mengi katika maisha yangu ukiacha mkenge tulioingia kama nchi kwa kumchagua Magufuli kuwa Raisi pia kwa mara ya Kwanza niliachwa na mtu...
  2. mzaramo

    Dr Levy: Ali Kiba ni dozi ya kutwa mara tatu

    Ukimfunika kukata mauno atakushinda kutunga. Ukimfunika umaarufu atakutesa kwa sauti. Ukimsumbua kuhonga media yeye atakuumiza kwa kutojisumbua na hizo media. Ni kama kumpenda mwanamke ambaye hajui kama unampenda.Na mbaya zaidi hata hisia juu yako hana. Utaumia sana. NdIo Ali. Hata mashabiki...
  3. mzaramo

    Riwaya: Konstebo Zungu

    RIWAYA: KONSTEBO NGUZU NA: George Iron Mosenya "Nimekosa magoli zaidi ya 9000 katika maisha yangu, nimepoteza mechi zaidi ya 300 katika maisha yangu, niliaminiwa mara 26 kuwa nitaipa timu yangu ushindi lakini nikashindwa. Nilishindwa tena na tena na tena katika maisha yangu NDIO MAANA...
  4. mzaramo

    Fid Q aumwagia sifa wimbo mpya wa Joh Makini

    Katika Hali ya kushangaza Mwanza Mwanza Fid Q ameonyesha ukomavu wake kwa kuisifia na kuipiga promo kazi mpya ya Mwamba Joh Makini. Ni kitu cha kustusha kweli kweli ukizingatia kumekuwa na kile kinachoonekana bifu kwa zaidi ya miaka 10 Kati yao. Ila siku ya Leo imefungua ukurasa mpya Kati yao...
  5. mzaramo

    Wimbo gani wa King Ali Kiba unaoukubali zaidi?!

    Tupo kwenye sensa kujua wimbo gani wa King unaokubalika zaidi. Tafadhali husika na Kichwa cha habari hapo juu hatutaki maneno maneno wala hatutaki malumbano na team ujanja ujanja kwenye Uzi huu. Kama humkubali hayo ni mapenzi yako binafsi na kama Huna wimbo unaoukubali kutoka kwake hayo ni...
  6. mzaramo

    Hakuna Beef kati ya Ali Kiba na Diamond ila kuna Beef kati ya Ali na Sallam

    Hii kitu sio mara ya Kwanza kutokea malumbano kati ya Ali na Sallam. 1.Show ya Tigo Dar es salaam mwaka jana kwenye show ya Tigo ambayo wasanii A List wa bongo flava wote walikuwemo ila baada ya ile show ambayo Ali kama kawaida yake alikimbiza Sallam kesho yake alishinda huko Twitter...
  7. mzaramo

    Huku akiwa na mimba yangu kaondoka kurudi kwa mzazi mwenzie

    Mwanzo nilikuwa mbishi mbishi kukubali kuwa ni ujinga kuanzisha mahusiano na mwanamke ambae ameshazalishwa na mwanaume mwingine(single mother) labda pengine huyo mwanaume wake awe ametangulia mbele za haki otherwise utawekwa mitala hivi hivi unajiona. Nisiwachoshe wakuu maana habari yenyewe ni...
  8. mzaramo

    Riwaya: Mji tulivu ulionipa gonjwa la milele

    IMEANDIKWA NA:GEORGE IRON MOSENYA SEHEMU YA 1 IMEANDIKWA NAYE: George Iron Mosenya SEHEMU YA KWANZA Maisha wakati mwingine si jitihada pekee zinazoweza kukutoa sehemu moja kwenda nyingine, kuna wakati bahati inahusika katika maisha. Si kwa wote lakini mimi nilibahatika kuwa mtoto kutoka...
  9. mzaramo

    Riwaya: Lidake tena chozi langu

    MTUNZI: George Iron Mosenya TUNUKIO! Simulizi hii ni maalumu kwa kila mtanzania na yeyote anayezungumza na kukisikia Kiswahili. Simulizi hii iondoke na mawazo finyu uliyonayo kuhusu walemavu wa ngozi yaani Albino. Ufungue moyo wako iruhusu na akili yako kubadilika sasa!! Badilika wewe mbadili...
  10. mzaramo

    Riwaya: Asia digital

    *****SEHEMU YA KWANZA***** NA.GEORGE IRON MOSENYA . . Joto lililokuwa katika chumba kikubwa cha ‘internet café’ liliwafanya wateja wajipepee kwa kutumia makablasha kadhaa waliyoingia nayo ama kuyakuta katika chumba kile. . . Joto lile lilikuwa kero kwa kila mteja mle ndani, lakini kwa...
  11. mzaramo

    Riwaya: Pumbazo

    NA: George Iron Mosenya SEHEMU YA KWANZA ILIKUWA yapata majira ya saa tatu na dakika zipatazo kumi na mbili kwa mujibu wa saa yangu ya mkononi. Nilikuwa nimegida chupa za pombe zipatazo tatu na hapo nilikuwa nikikisikia kichwa changu walau kwa kiasi fulani kikiwa kimechangamka na ule mzigo wa...
  12. mzaramo

    Riwaya: Hila

    RIWAYA: HILA MTUNZI: George Iron mosenya MWANZO WA SHUBIRI Umri wao ulikuwa unakimbilia miaka ishirini na nane upande wa mwanaume na ishirini na tano kwa mwanamke, lakini sasa walikuwa wamegeuka kama watoto wadogo, walikuwa wanakimbizana katika chumba kile kikubwa cha haja huku wakipondana kwa...
  13. mzaramo

    RIWAYA: Ripoti kamili

    IMEANDIKWA NA: George Iron Mosenya SEHEMU YA 1 Nimejifunza mengi katika maisha yangu, nimejifunza kuliweka wazi sikio langu kumsikiliza kila mtu iwe anazungumza upuuzi ama anajenga hoja chanya na madhubuti!! Lakini yote juu ya yote, nafanya hivi lakini naweka maanani kitu kimoja tu...
  14. mzaramo

    RIWAYA: Pumbazo

    RIWAYA: PUMBAZO NA: George Iron Mosenya SEHEMU YA KWANZA ILIKUWA yapata majira ya saa tatu na dakika zipatazo kumi na mbili kwa mujibu wa saa yangu ya mkononi. Nilikuwa nimegida chupa za pombe zipatazo tatu na hapo nilikuwa nikikisikia kichwa changu walau kwa kiasi fulani kikiwa kimechangamka na...
  15. mzaramo

    RIWAYA; Mpango wa kando

    RIWAYA: MPANGO WA KANDO NA: George Iron Mosenya SEHEMU YA 1 KADRI karandinga lilivyokuwa linazidi kushika kasi ndivyo akili yake nayo ikazidi kuamini kuwa hakuwa katika ndoto tena bali ni kweli alikuwa ameveshwa pingu katika mikono yake na alikuwa ametoka kuhukumiwa kwenda jela kwa miaka...
  16. mzaramo

    Mchumba wangu kaanza katabia cha ajabu

    Huko nyuma tulikuwa hatuna migogoro yoyote mimi na my wife wangu to be.Na kusema ukweli kama ilivyo desturi yetu watu wa kabila langu mimi ndio nilikuwa nimeyashika mahusiano yetu,Mchumba wangu hakuwa anasema kitu mbele yangu yaani ilikuwa hata ikiwa kosa nimefanya mimi kwa kutumia maneno yangu...
  17. mzaramo

    Riwaya: Ant Ezekiel

    SIMULIZI: ANTI EZEKIEL MTUNZI: George Iron Mosenya SEHEMU YA KWANZA Marashi yaliyopuliziwa na mtu ambaye nilikuwa sijauona uso wake wala kujua yu umbali kiasi gani kutoka katika kiti nilichokuwa nimekaa kwa ajili ya kunyolewa nywele zangu yalinivutia kiuhakika, nikaamua kumshirikisha...
  18. mzaramo

    Nipo South Africa hapa Hakukaliki

    Nipo Johannesburg,South Africa hapa mitaa ya Jeep street tumejifungia ndani toka saa 10 jioni wenye nchi yao wanapiga wageni,kuwaua na kuwachoma moto kama kuku.Wanapita mtaa kwa mtaa wakikuona mgeni hakuna kuuliza ni kipondo bila huruma. Wanachoma matahiri barabarani na kuyachoma moto magari...
  19. mzaramo

    Nani muimbaji bora wa Zilipendwa kuwahi kutokea bongo!?

    Zilipendwa ni nyimbo fulani nzuri za miaka kadhaa nyuma...kulikuwa na bendi kama sikinde,msondo,Dar Jazz,Kilwa Jazz na nyingine kibwena.. kwa mtazamo wako unadhani muimbaji gani ndie bora zaidi kuwahi kutokea kwenye aina hii ya mziki hapa bongo #mimi kwa upande wangu nampa kura yangu TX...
  20. mzaramo

    Ni kweli kuku ana sumu kali kuliko nyoka?

    Nimetatizwa sana na hii kitu nimewahi kusikia mara kadhaa huko nyuma watu wakisema kuwa kuku hasa yule anaetaga au mwenye vifaranga huwa ana sumu kali kuliko hata ya nyoka. Wakasema kuwa kama ukiwa unataka kumkamata usiku hasa kwenye giza ni lazima uongee ili ajue kuwa huyo anaekuja ni...
Back
Top Bottom