mzaramo
JF-Expert Member
- Sep 4, 2006
- 6,371
- 5,183
Katika Hali ya kushangaza Mwanza Mwanza Fid Q ameonyesha ukomavu wake kwa kuisifia na kuipiga promo kazi mpya ya Mwamba Joh Makini.
Ni kitu cha kustusha kweli kweli ukizingatia kumekuwa na kile kinachoonekana bifu kwa zaidi ya miaka 10 Kati yao.
Ila siku ya Leo imefungua ukurasa mpya Kati yao na pengine inaweza kupelekea kuja kwa collabo inayosubiriwa zaidi kwenye bongo flava pembeni ya collabo ya Ali Kiba na Diamond.
Mashabiki wapagawa na kuwaomba wafanye collabo au wapige Tour ya pamoja waokote hela zinazowasubiri.