Nipo South Africa hapa Hakukaliki

Nipo South Africa hapa Hakukaliki

mzaramo

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2006
Posts
6,371
Reaction score
5,194
Nipo Johannesburg,South Africa hapa mitaa ya Jeep street tumejifungia ndani toka saa 10 jioni wenye nchi yao wanapiga wageni,kuwaua na kuwachoma moto kama kuku.Wanapita mtaa kwa mtaa wakikuona mgeni hakuna kuuliza ni kipondo bila huruma.

Wanachoma matahiri barabarani na kuyachoma moto magari ya wageni wote kwenye nchi yao cha ajabu sasa wanaowapiga ni watu weusi wenzao na sio wazungu,wachina au waarabu mpaka unajiuliza hawa hawataki wageni au hawawataki wageni weusi.

Kesho natakiwa kurudi kwangu Cape Town maana nilikata ticket ya go & return hapa najiuliza nitaenda vipi uwanja wa ndege na kurudi kwangu Cape Town maana kule hakuna fujo za kijinga na kipuuzi kama hivi

UPDATES
nashukuru mungu nimefika salama kwangu Cape Town na nina furaha kuiona tena familia yangu...Vuruga zimepungua kwa kiasi kikubwa mno serikali ya South Africa imeona aibu kwa hili na imejitaidi kudhibiti...Asanteni sana kwa dua zenu.Tuendelee kuomba mapigano yakome kabisa na yasirudi tena...Amen
 
Nipo Johannesburg,South Africa hapa mitaa ya Jeep street tumejifungia ndani toka saa 10 jioni wenye nchi yao wanapiga wageni,kuwaua na kuwachoma moto kama kuku.Wanapita mtaa kwa mtaa wakikuona mgeni hakuna kuuliza ni kipondo bila huruma.

Wanachoma matahiri barabarani na kuyachoma moto magari ya wageni wote kwenye nchi yao cha ajabu sasa wanaowapiga ni watu weusi wenzao na sio wazungu,wachina au waarabu mpaka unajiuliza hawa hawataki wageni au hawawataki wageni weusi.

Kesho natakiwa kurudi kwangu Cape Town maana nilikata ticket ya go & return hapa najiuliza nitaenda vipi uwanja wa ndege na kurudi kwangu Cape Town maana kule hakuna fujo za kijinga na kipuuzi kama hivi

Wapigie police uombe msaada au ubalozi wa Tz!
 
We mvivu wa kufikiri badala ya kurudi nchi yako Tanzania yenye amani na upendo pamoja na mafisadi kibao unalaumu kuchelewa kurudi Cape town!! inafaa wakuvunje miguu kabisa.
 
Mkuu vp hapohapo joz, Cosmo nakunafujo pia?.
 
Fuata huu ushauri Mkuu anza na ubalozini uone watakusaidiaje kama hawana msaada basi jaribu polisi, uwe muangalifu Mkuu jamaa hawana simile. Kama hutajali ukifika salama Cape Town njoo ulifahamishe jamvi.

Wapigie police uombe msaada au ubalozi wa Tz!
 
nipo johannesburg,south africa hapa mitaa ya jeep street tumejifungia ndani toka saa 10 jioni wenye nchi yao wanapiga wageni,kuwaua na kuwachoma moto kama kuku.wanapita mtaa kwa mtaa wakikuona mgeni hakuna kuuliza ni kipondo bila huruma.

Wanachoma matahiri barabarani na kuyachoma moto magari ya wageni wote kwenye nchi yao cha ajabu sasa wanaowapiga ni watu weusi wenzao na sio wazungu,wachina au waarabu mpaka unajiuliza hawa hawataki wageni au hawawataki wageni weusi.

Kesho natakiwa kurudi kwangu cape town maana nilikata ticket ya go & return hapa najiuliza nitaenda vipi uwanja wa ndege na kurudi kwangu cape town maana kule hakuna fujo za kijinga na kipuuzi kama hivi

kwako tz .. Else usiogopekamahuko. Nikwakko uwekimya waachewanaoenda wakaone nao
 
pole sana mkuu.
Maji yakizidi unga karibu tena Bongo. Huku ajali za barabarani tu ndio zinatuua mpaka tunashindwa kushangaa

Huyujamaa waajali anaanza anganiq wikiijayo awahimapemA asikutanenamasahibu
 
We mvivu wa kufikiri badala ya kurudi nchi yako Tanzania yenye amani na upendo pamoja na mafisadi kibao unalaumu kuchelewa kurudi Cape town!! inafaa wakuvunje miguu kabisa.

mkuu huko kunatia hasira zaidi hao mafisadi wa ccm wanavyoitafuna nchi yetu
 
Wapigie police uombe msaada au ubalozi wa Tz!

wazo la ubalozini ni nzuri zaidi ila ubalozi upo mji mwingine Pretoria na mm nipo joberg kuna umbali....hapo kwenye police sidhani kama ni msaada kwa haya yanayotokea police wenyewe wana sapoti pia maana na wenyewe wana akili kama za ndugu zao za kutotaka wageni
 
Mkuu vp hapohapo joz, Cosmo nakunafujo pia?.

nadhani zitakuwepo pia mkuu...nipo ndani tu sina taarifa nyingi za huko nje zaidi ya kusikia makelele na moshi wa matahiri yanayochomwa...ila fujo zilianzia pale Mtn tax rank na kusambaa mitaa yote hii
 
kwako tz .. Else usiogopekamahuko. Nikwakko uwekimya waachewanaoenda wakaone nao

mkuu kwangu kwa maana familia yangu ipo huku...mke na watoto wawili
 
Mi nimejifungia ndani hapa Cape Town, Hawa wasauz hawa noma
 
Wasauzi wana wachukia waafrika wenzao kwasababu wanachukua ajira zao za hovyo

mkuu nimefanya nao kazi jamaa sio wafanya kazi kabisa kisa nchi yao...utakuta msouth anafanya kazi summer time tu ikifika winter hataki kusikia kuhusu kazi kabisa...ila wageni hatuchagui kazi ndio maana waajiri wanatupenda wao hapo ndio roho zinapowauma alafu kitu kingine mkuu siku hizi hapa south wageni wengi wana hela kushinda wasouth wenyewe wageni ndio wana maduka,mahoteli na mabaa ambayo wanaajiri hao hao wenye nchi sasa sijui roho zinawauma vp hapo
 
mkuu kwangu kwa maana familia yangu ipo huku...mke na watoto wawili

kaka bongo utapeweza tu mifursa kibao ni wewe tu ushindwe, ila wabongo mlioko south mmezid kujisahau we miaka kumi yote kama kwenu bora yetu sisi wa nchumbiji nikipata usd 1000 nusu naenda kujenga tz nyingine naongeza mradi huko
 
Back
Top Bottom